Mwanaume hufikiria kufanya mapenzi kila masaa 48

umenena vyema..kuna doctor mwingine aliwahi kusema mkihisi maumivu ya kichwa dawa ni kufanya mapenz.na.yanapotea kabisaa..
 
Mkuu nina mengi sana ya kusema hapa wacha nijaribu kwa kadri ya uwezo wangu

Kuna kitu kinaitwa ukweli,ukweli maana yake ni kile kinachosemwa kukubaliana na hali halisi
Mfano unaposema kuna mtu kajinyea basi huyo mtu aonekane kwenye hali halisi kuwa kajinyea

Kwenye masuala haya ya kukutana kimwili naweza kusema napingana na hawa wanaojiita watafiti na nasema kuwa hawasemi ukweli,nina sababu mbili za kusema hayo

Moja:sababu za kidini
Kwa wale tunaoamini kuwa binadamu kaumbwa na Mungu ni kwamba haiwezekani Mungu amuumbe binadamu mmoja awe na uhitaji mdogo na mwingine awe na uhitaji mkubwa kwenye suala lilelile na tena ambalo linahitajika lifanywe na wote wawili
Huko ni kujikinza

Mbili:Sababu za kimazingira
Kwenye maisha niliyokulia nimeshuhudia zaidi ya kesi 20 ambazo wanawake wanawalaumu waume zao kutokuwatosheleza kimwili,hii ni dalili tosha kuwa kuna namba kubwa ya wanawake ambao wanauhitaji mkubwa sana wa hili jambo kuliko wanavyodai hawa watafiti

Hebu fikiria kama mimi tu ambae nimeweza kupitia maeneo machache sana ya Dunia hii nimeshuhudia kesi zaidi ya 20 je kuna ngapi ambazo sijaziona?

Kimsingi kama wanandoa au wapenzi wanahitaji jambo hili liwe na burudani kwa wote inatakiwa wawe karibu na kuwa wawazi na kujadiliana kwa upendo namna ya kutoshelezana na sio kusimangana

Niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja ambae baada ya huyo sijaingia tena kwenye mahusiano kwasababu zangu binafsi

Binti huyo alikuwa na vituko sana,kwanza mimi uwezo wangu wa kufanya ngono ni mkubwa na sina shaka na hilo,lakini pia ninaweza kukaa muda mrefu sana bila kufanya ngono kama nikitaka,hivyo ninaweza kufanya mara nyingi nitakavyo lakini pia ninaweza kujikontroo nitakavyo

Sasa huyo binti sijui tu alikuwaje,siku ya kwanza nilipiga goli 4,hakusema baada ya siku 5 tukakutana tena nikapiga 6 hakusema,nikaamua kukaa kimya bila kumwambia kuwa namhitaji cha ajabu baada ya kupita wiki akaja nyumbani na kuanza kulalamika kuwa nimemuumiza kiuno na akadai kuwa anaumwa

Nikaenda kumtafutia dawa kisha nikamuuliza ni kwanini anadhani mimi ndio nimemuumiza,akasema kuwa ni kutokana na mimi kufanya nae nngono mara nyingi kwa usiku mmoja,nikamuuliza kwani yeye anaweza kuhimili mara ngapi ili nisiwe namuumiza tena,hakujibu na siku hiyo hiyo akahitaji kulalala,sikukataa na niliamua kutomgusa kwakuwa najua anaumwa

Kulipokucha akaanza kulalamika kwanini sikuhitaji au nina mwanamke mwingine,nilicheka kisha nikamuuliza wewe si unaumwa?Akasema sasa kuumwa ndio kutokuhitaji?Ki ukweli nilimshangaa,nikapiga viwili vya fasta akaondoka

Usiku wake akarudi tena na nikapiga kama viwili kisha nikalala ili kuondoa kesi na kumuumiza zaidi "kiuno",lakini usiku alikuwa msumbufu sana akitaka tena na tena

Asubuhi yake akanilalamimikia eti napenda sana ngono,nadhani hata wewe unaweza kushangaa

Kwakifupi ninachotaka kusema hapa ni kuwa wanawake wengi mara nyingi kama sio zote huwa hawamaanishi kile wanachokuwa wanasema ndio maana hawa watafiti wanakuja na matokeo yasiyokubaliana na hali halisi!

asilimia 30 tu ya wanawake ndo hufurahi tendo la ndoa,takwimu zinasema hivyo lakini nimekuja kujiridhisha mwenyewe kwamba asilimia 70 zilizobaki za wanawake kutofika kileleni asilimia 50 zinachangikwa na wanawake wenyewe kutokuwa was wazi kwa wenza wao na pia kutokuwa na ushirikiano kwa wenza wao wakati wa tendo,yaani mtu akishavua ndo kamaliza hafinyi kingine chochote,utafikiri unambaka.

So kwa hizo kesi 20 ulizokumbana nazo binafsi sishangai na hata hiyo scenario ya demu wako pia siishangai ndo maana kwa hali hii michepuko inaendelea kuwepo mi naamini kama wenza wote wakishiriki ipasvyo tendo kila mtu akaplay part yake mnaweza mkaa hata wiki nzima bila ya kutamanian ile serious..
 
moderation is the best way of life ,muda mwingine ukidai sana kero ukipunguza ni matatizo pia thats life its
 
Mmmmmh!
 
kusema mara ngapi ni ngumu kwani wakati mwingine mnakuwa mnaleta mashambulizi ya kushitukiza na kiukweli sometime mnakuwa hakudhamiria ila ndo ivo tena filimbi ya mgambo imelia unashindwa kuituliza, mfano usiku mnaweza mkawa mmepiga mechi moja nzuri tena kila mtu akafurahi,asubuhi mmeamka mnajiandaa kuwahi kazini mara umemuona mamaa anavaa yuko naked pale kny dressing table mtoto wa watu akijipaka mafuta yake ghafla kitu hicho kimevimba unajikuta unashindwa kujizuia na unaomba fast jet, km nilivyosema kusoma alama za nyakati ni muhimu na mjitahid muwe na self control.

At least sema mkiwa na hamu kubwa ni kama bao ngapi mnahitaji, na mkiwa na hamu ndogo mnahitaji bao ngapi.
 
Mwanamke ni kinyonga kny swala la mapenzi,inahitaji sana umakini na muda kumsoma mpka umuelewe anataka nn na kipi ni best kwake.

ANGALIA HAPO NILIPO BOLD
Nakuomba siku nyingine unaponi quote andika kama mtu mzima

Huwa sijibu kama mtu akiniandikia hivyo!
 
Himidini huo mzuka wa kungonoka mi nnao hasaaaaa! Tena nahisi hayo masaa 48 ni mengi sana! Sijui ni ujana au ndio nazeeka au ni pepo tu!!!!!
...
Self control kweli ni muhimu, but mjini hapa hakuna hata mashamba tukashtua kwa jembe! Mazoezi yanachosha sana, basi tu!!!!
 
asilimia 30 tu ya wanawake ndo hufurahi tendo la ndoa,takwimu zinasema hivyo lakini nimekuja kujiridhisha mwenyewe kwamba asilimia 70 zilizobaki za wanawake kutofika kileleni asilimia 50 zinachangikwa na wanawake wenyewe kutokuwa was wazi kwa wenza wao na pia kutokuwa na ushirikiano kwa wenza wao wakati wa tendo,yaani mtu akishavua ndo kamaliza hafinyi kingine chochote,utafikiri unambaka.

So kwa hizo kesi 20 ulizokumbana nazo binafsi sishangai na hata hiyo scenario ya demu wako pia siishangai ndo maana kwa hali hii michepuko inaendelea kuwepo mi naamini kama wenza wote wakishiriki ipasvyo tendo kila mtu akaplay part yake mnaweza mkaa hata wiki nzima bila ya kutamanian ile serious..

Nakubaliana na wewe mkuu kwa kiwango kikubwa sana!
 
^^
Da! Huyo binti nahisi atakuwa na undugu na X wangu ambae sababu mojawapo ya ni malalamiko yasiyoisha kuwa nimemgeuza mlinzi wa kila usiku.
Back to topic,
Wanawake ni viumbe wa ajab sana, ndio maana ukitaka kuwa manage basi usitabirike ktk hali hali zote.
^^

Ndivyo walivyo!!!!!!!!!
 
Himidini huo mzuka wa kungonoka mi nnao hasaaaaa! Tena nahisi hayo masaa 48 ni mengi sana! Sijui ni ujana au ndio nazeeka au ni pepo tu!!!!!
...
Self control kweli ni muhimu, but mjini hapa hakuna hata mashamba tukashtua kwa jembe! Mazoezi yanachosha sana, basi tu!!!!

^^
ha ha ha
Itabidi utafute hao wa miaka 40+ wanapenda sana au vipi
^^
 
At least sema mkiwa na hamu kubwa ni kama bao ngapi mnahitaji, na mkiwa na hamu ndogo mnahitaji bao ngapi.

sasa hiyo siwezi kuisemea kwa wote kwani inategemeana na kila mwanamke anavyopenda, binafsi sipendi mabao mengi napenda single but heavy ikizidi mawili but kuwe na interval fulan.
 
Kulioni????????????????

Eiyer pale red ni mambo mawili: either mtazamo wangu uko wrong or sijaelewa kile ulichomaanisha pale!
...
Nnavyoelewa mimi Mungu anaweza (na anafanya) kuumba hali na nguvu tofauti katika kundi moja la watu or vitu! Nikimaanisha anaweza kumuumba huyu na uwezo wa wastani, akamuu yule na uwezo mkubwa/mwingi na akamuumba mwengine asiwe na uwezo kabisa! Na hayo yanaonekana, kuna wanaopiga shoka moja tu na kushindwa kuendelea na ya pili na wako wanaoweza kupiga shoka hata 6 (like you) hao wote wameumbwa na Mungu!
 
ANGALIA HAPO NILIPO BOLD
Nakuomba siku nyingine unaponi quote andika kama mtu mzima

Huwa sijibu kama mtu akiniandikia hivyo!

ohh! sorry lakini hiyo nimeandika kwa kifupi nikimaanisha kwenye si unajua tena japokuwa tupo JF<Jamii Forum> lakini pia tunakimbizana na majukumu ya kila siku.
 
Eiyer pale red ni mambo mawili: either mtazamo wangu uko wrong or sijaelewa kile ulichomaanisha pale!
...
Nnavyoelewa mimi Mungu anaweza (na anafanya) kuumba hali na nguvu tofauti katika kundi moja la watu or vitu! Nikimaanisha anaweza kumuumba huyu na uwezo wa wastani, akamuu yule na uwezo mkubwa/mwingi na akamuumba mwengine asiwe na uwezo kabisa! Na hayo yanaonekana, kuna wanaopiga shoka moja tu na kushindwa kuendelea na ya pili na wako wanaoweza kupiga shoka hata 6 (like you) hao wote wameumbwa na Mungu!

Hujanielewa kabisa nilichokuwa nazungumza pale

Kwanza ujue nimezungumza hilo kwenye mada gani ili uweze kunielewa kisha ulihsirikishe na mada husika ili uweze kuipata point yangu

Uwezo wa kukata shoka haumhusishi yule asiyeweza kukata shoka

Yaani atakaeshindwa kukata hamuathiri anaeweza

Sasa kutokana na huo mfano wako inaonsha hujanielewa kabisa

Ngono na ufanyaji wake unawahusisha watu wawili wenye jinsia mbili tofauti na uwezo wao wa kufanya unaweza kumuathiri mwingine kwa asilimia nyingi kama sio zote!
 
^^
ha ha ha
Itabidi utafute hao wa miaka 40+ wanapenda sana au vipi
^^

Himidini kuna ukweli wowote hapo?
Mbona mimi kama siamini ke wa 40+ amzidi wa 40-?
Naomba ufafanuzi kidogo. Kwanini iwe hivyo wakati binadamu sio samaki?
 
ohh! sorry lakini hiyo nimeandika kwa kifupi nikimaanisha kwenye si unajua tena japokuwa tupo JF<Jamii Forum> lakini pia tunakimbizana na majukumu ya kila siku.

Nimekuelewa

Lakini kuweka herufi chache kiasi hicho hakukupunguzii muda wowote ule!
 
Back
Top Bottom