Sio mwanamke tu, hata mwanaume anaweza kuumia. Too much of anything is harmful!
Nwy kama mara mnazofanya mapenzi zingekuwa matokeo ya kiasi mnachopendana kuna watu wangekuwa hawa'get laid' ever!! Wengine wanafanya kama jukumu sawa na kufua,kupika n.k, wengine wanafanya kuwaridhisha tu wenzao na wengine wanafanya kuwarubuni wenzao ndio maana wanawake wanaongoza kwa kuFAKE. Mtu anafake tangu kulegea, miguno/kelele mpaka orgasm. Upendo uko wapi hapo?
Na wanaume wasio na msukumo wa kufanya mapenzi sana hawaa upendo kwa wenzi wao?
Upendo ni zaidi ya kungonoka bana. Ndio maana wakaka wanachukua hata dada poa ili wapunguze mzigo mwilini.
Back to topic. . .
Wanaume kweli wanapata msukumo wa kufanya mapenzi sana kutokana na maumbile lakini isiswe sababu ya kujiendekeza na kujidekeza. Miili ni yenu na mamlaka ya kuiendesha ni yenu vile vile. Msome mke/mpenzi wako, kama nae ni wa kila saa basi fanyeni mpaka vifanyio vikatae kuendelea. Ila kama ni wa kiasi jicontrol muende kwa mdundo mmoja. Mara tatu/nne kwa wiki ni reasonable kabisa.