Mwanaume hufikiria kufanya mapenzi kila masaa 48

^^
Pengine wanaingia ktk kundi la 25% ya wale wanawake wenye kiu ya kila wakati
^^

Pengine, hiyo 25% itakuwa imeongezeka. Ila kwangu ukiwa na mtu wako, katika uhusiano uliojengwa kwa misingi inayoeleweka, unaweza kumwambia mpenzi wako unachotaka.

Kwangu shida inakuha Tu pale nionapo wadada wakikubali kuwa na mtu bila hata kujenga urafiki, kufahamiana.. Kumjua mtu vizuri. Hapo ninakwazika kwa kweli.
 
njia kuu ni rough road.... iawezekana kweli?

^^
Ha ha hiyo oparesheni ya masaa 12 unataka, huoni rough road itakuwa mto nile..
Sina hakika kama itawezekana au la!

imagine sasa hii njia kuu ina kila aina ya ya shida, mamba, mbweha, simba mla watu, fisi, chui, duma, kino nke muua watu tarime.. nk!

bado tu unanishauri nibaki njia kuu?

come on man!
 
Ha ha haa! Nachofahamu ni kuwa, una akili, uwezo na utashi unaokusaidia kuona kutazama na kuchunguza kwa ufasaha ujue wapi upite. Wahenga walisema Kanyaga ardhi polepole

Mkuu, hivyo vizingiti vinakuimarisha na kukufanya mwenye msimamo katika maisha, after all huko panya road hamna la maana zaidi ya madimbwi ya maji, mawe, mara njia imefungwa..
Hiyo njia kuu uliichagua mwenyewe, acha panya road...
 
mkuu, najua wewe ni expert member, sawa? tunapozungumzia sualal kama hili, sio kila kitu tuwe tunatingisha kichwa tuuu ishara ya thumb up, no!!! we must think again!

kwanini nibaki njia kuu?............... hapa nadhani kuna mengi yametetea, sawa!

sasa huku njia kwenyewe tumeshaona kuna nini ndani yake? humo humo tunaona matatizo mengi tu....!! naomba tuyajadili sasa.........!
 
^^
Ha ha haa! Nachofahamu ni kuwa, una akili, uwezo na utashi unaokusaidia kuona kutazama na kuchunguza kwa ufasaha ujue wapi upite. Wahenga walisema Kanyaga ardhi polepole
^^

ala! kumbe!

nadhani pia hao wahenga pia walikuwa sahihi waliposema.. ''The skin of the leopard is beautiful, but not his heart. ''

nadhani nimesomeka vyema Himidini..
 
Last edited by a moderator:

Bara'bara Excel
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
Bara'bara Excel
^^

enhee!! sasa twendelee, njia kuu vs michepuko, si ndiyo?

hivi kiasili, unawezaje kulizungumzia hili mkuu?

tafadhali fanya ufananisho kati ya jamii ya watu wenye asili ya frika na wale wenye asili ya mabara mengine kama amerika na yuropa.
 
mkuu, najua wewe ni expert member, sawa? tunapozungumzia sualal kama hili, sio kila kitu tuwe tunatingisha kichwa tuuu ishara ya thumb up, no!!! we must think again!

kwanini nibaki njia kuu?............... hapa nadhani kuna mengi yametetea, sawa!

sasa huku njia kwenyewe tumeshaona kuna nini ndani yake? humo humo tunaona matatizo mengi tu....!! naomba tuyajadili sasa.........!

Njia kuu inakuepusha na majanga mengi, with condition kwamba gari unalomiliki nalo linaridhia kuendeshwa njia hiyo. Sipendi kukubali tu mambo bila kuweka changamoto, ila kwa swala la kubaki njia kuu sina objections coz I know effects of panya roads.

Mkuu kama umeamua kuingoa barabarani, just stick to the main road, period!!! Otherwise watafuta traffic police kukutoza faini ya uhai wako!!
 
sawa mkuu, sasa nakuuliza, endapo uko njia kuu, unaendesha kwa spidi ya kawaida kabisa, 45km/hour, ghafla ukakutana na kibao kimeandikwa kwa maandishi mekundu..

''keep left into the rough road'' ... comment
 
enhee!! sasa twendelee, njia kuu vs michepuko, si ndiyo?

hivi kiasili, unawezaje kulizungumzia hili mkuu?

tafadhali fanya ufananisho kati ya jamii ya watu wenye asili ya frika na wale wenye asili ya mabara mengine kama amerika na yuropa.

^^
Ujue awali sikutaka kujiingiza ktk mjadala huu na post zote za jf zinazohusu Michepuko sikupenda kuchangia,,lakini kwa kuwa umebana hapa ngoja tu niseme !!
HUO NI USANII sawa na maigizo mengine, matangazo haya huja na kupita lakini yamesaidia kushamiri kwa usaliti kuliko ilivyokuwa, sababu ni kuwa tabia ya kutoka nje ya mahusiano ni kama ibaada kwa walio wengi, fahari mivuto mawasiliano n.k yanarahisisha kukua kwa usaliti. Hivyo bado naamini ktk msimamo wangu, uaminifu ni tabia ya mtu.
^^
 
sawa mkuu, sasa nakuuliza, endapo uko njia kuu, unaendesha kwa spidi ya kawaida kabisa, 45km/hour, ghafla ukakutana na kibao kimeandikwa kwa maandishi mekundu..

''keep left into the rough road'' ... comment

Ha ha ha!!!
Mkuu, kwanza spidi nzuri, 45km/hr unaweza kupunguza vizuri, kupaki gari pembeni na kujishauri, je kwa nini huko kibao kimewekwa hapa? Kuna sababu ya ku-diverge? Nitakuwa na options mbili...kwaanza, kuchagua kuacha kuendesha..pili, kuingia rough road of which I will opt for the first one...
 
good answer..

part b..

barabara uliyokuwa unaitumia kwa gari hiyo at 45kmper hour ilikuwa inamomonyoka kwa spidi ya kufuata direction ya gari.. what could you do?

this case is sensitive..
 
Back
Top Bottom