Mwanaume hawajibiki chochote katika familia

Mwanaume hawajibiki chochote katika familia

oh kumbe unanua eh..kwa taarifa yako nishawapata wateja wa kutosha...for now nimesitisha huduma niwahudumie hawa nilio nao..nikiwamaliza nitatoa price that time

fyi:i never purchase hzo bidhaa

nna kampuni ya marketing so cud help
 
Atakuwa anakomalia mchepuko huyo siyo bure amewekwa chupani siyo bure
 
Hujaeleza kazi au kipato cha mme wako. Kama wewe ndio mwenye kipato tunza familia kulingana na kipato chenu ninyi wawili. Kukopa ada ni ya level gani hiyo?maana jamani kuna hizi ada za ma-academy pamoja na nia nzuri ni vema kujipima. Aidha msaidie mume wako ainuke badala ya kumlaumu.

Primary std v na 4.
 
Back
Top Bottom