jashmoe32
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 1,100
- 440
Sidhan kama haya mambo ya kudiscuss huku ila kwa kua umeyaleta,si vbaya tukayaongelea. Ameajiriwa au mfanyabiashara?Naamn sasa hivi anaangaikia mambo yake yakae vizuri ila naamn kipindi kile anakutongoza alikua haombi ushaur kwa watu kua mbona natumia hela nying kwa hyu mdada.Mwanaum akiporomoka kimaisha mnakua na dharau sana,why madada mko hivo mana najua wewe ni chini ya 40.
Badilika dadangu na ndoa ni kusaidiana na si kumuachia majukumu yote mmeo
Badilika dadangu na ndoa ni kusaidiana na si kumuachia majukumu yote mmeo