Mwanaume hawajibiki chochote katika familia

Mwanaume hawajibiki chochote katika familia

Mleta nada hujajibu swali la wadau wengi ambalo ni "mmeo anakazi"?.kwanini usiondoke ukalee watoto mwenyewe kama saa hivi unauwezo wa kuwalea mwenyewe bila yeye?kwanini unakumbatia matatizo?jiamnini kwamba unaweza kuliko kuendelea kujiumiza.nachukia kuona mwanamke analalamika mumewe hachangii kitu na bado anaendelea nae.maisha mafupi endelea bila yeye inawezekana.tuache kulalamika na kukumbatia matatizo
 
Hahaha! Ni wa shida na raha, kama mlikwenda kanisani lakini. Mvumilie tu.
 
Swala la mmeo kuwa na hela au la ni lenu wenyewe. Tukushauri vp wakati hatujui kazi anayofanya na kipato chake. Tusije mtupia lawama bure
 
vumilia mtihani huo na amini utapita tu then haipendez kuja kusema mambo kama hayo humu .....umemdhalilisha mumeo heb muombe mswamaha mara moja
 
Ww unajua hali ya mumeo kwama kweli anapesa alafu ahudumii family huyo mwanaume hajielewii but kama hali yake kiuchumi aiko poa bas mvumiliee
 
Asante kwa ushauri mzuri. Vikao tumekaa mara nyingi bila mafanikio. Kwa kuwa mashitaka yanajirudia anadiliki mbele za watu kujifanya kuwa anawajibika kama kawaida wakati ukweli anaujua. Kwa ujumla amekuwa mzigo sasa.

amekuwa "MZIGO" daaah! hapa kuna njia mbili tu, Ukae kimya ubebe mzigo huu hadi mwisho, au uutue habar iishe, Nakutakia kila la kher unapojipanga kufanya maamuz
 
Mleta nada hujajibu swali la wadau wengi ambalo ni "mmeo anakazi"?.kwanini usiondoke ukalee watoto mwenyewe kama saa hivi unauwezo wa kuwalea mwenyewe bila yeye?kwanini unakumbatia matatizo?jiamnini kwamba unaweza kuliko kuendelea kujiumiza.nachukia kuona mwanamke analalamika mumewe hachangii kitu na bado anaendelea nae.maisha mafupi endelea bila yeye inawezekana.tuache kulalamika na kukumbatia matatizo

Tumejenga ingawa nguvu kubwa ya kwangu, ni mjasilia mali, anakopa mikopo PRIDE bila kujua inafanya nini? Naondokaje kuanza upya?
 
Mhm mwanzo nilidhani maskhara, huwa unapata wasaa wa kukaa na mwenzako mkaelezana kinaga ubaga? Sababu kwa maelezo tu nahisi hamko wazi (yaani kila mtu anabeba lake moyoni), mie sikushauri hata robo kumuacha mwenzio hata kama mlikutana barabarani ni muhimu kwako kumueleza yale u.ayohisi yanajaza uzoto moyoni mwako. Siye wanaume wakati mwingine tunaweza kuamua kukaa kimya hasa kama u.aona pato la mwenzako kiasi linakidhi mahitaji ya familia, muhimu ni kuwekana wazi.
 
Habari wanajamii forum,

Mimi ni mama, mme wangu hawajibiki kwa chochote katika familia. January aliniambia nikope pesa ili mtoto aweze kwenda shule na baadaye atarudisha kwa kusema kuwa mambo yake hayajakaa sawa.

Mpaka ninapoandika ujumbe huu pesa hajarudisha na July ndiyo hii ada inatakiwa tena. Je mme huyu yuko sawa kweli? Au kuna shida nyingine. Maana yuko kimya kabisa.

Kama hana hela kweli inabidi umvumilie tu
 
Tumejenga ingawa nguvu kubwa ya kwangu, ni mjasilia mali, anakopa mikopo PRIDE bila kujua inafanya nini? Naondokaje kuanza upya?

inaonyesha hamna mawasiliano ya wazi na huo ndio msingi wa wanandoa.unauliza utaondokaje kwasababu umechangia kiasi kikubwa na ndoa ya kanisani,kwahiyo uko radhi ufe?.uamuzi ni Wako lakini ujue ukiamua unaweza na naona bado hujaamua au umezoea matatizo.kila la kheri!
 
Habari wanajamii forum,

Mimi ni mama, mme wangu hawajibiki kwa chochote katika familia. January aliniambia nikope pesa ili mtoto aweze kwenda shule na baadaye atarudisha kwa kusema kuwa mambo yake hayajakaa sawa.

Mpaka ninapoandika ujumbe huu pesa hajarudisha na July ndiyo hii ada inatakiwa tena. Je mme huyu yuko sawa kweli? Au kuna shida nyingine. Maana yuko kimya kabisa.
Hata kale ka mchezo ka wawili hakupi!
 
kama umeona katika sentensi zima hilo neno tu..its okey...btw kila mwanamke anauza ndugu sema tunafoutiana wengine umewaoa na wanawauzia pale mnapowapa fedha za matumizi..kibaya zaidi wanauza beii chee... Maana wanapigika kwa kuhudumia familia na hilo tendo la ndoa..!

am glad to get confirmation kwamba unauza
hope i ddnt offend u,but if u dont mind let me know yo price
 
Hujaeleza kazi au kipato cha mme wako. Kama wewe ndio mwenye kipato tunza familia kulingana na kipato chenu ninyi wawili. Kukopa ada ni ya level gani hiyo?maana jamani kuna hizi ada za ma-academy pamoja na nia nzuri ni vema kujipima. Aidha msaidie mume wako ainuke badala ya kumlaumu.
 
am glad to get confirmation kwamba unauza
hope i ddnt offend u,but if u dont mind let me know yo price

oh kumbe unanua eh..kwa taarifa yako nishawapata wateja wa kutosha...for now nimesitisha huduma niwahudumie hawa nilio nao..nikiwamaliza nitatoa price that time
 
Back
Top Bottom