Lakini kweli aisee hapa ........ wanasemaga ati wanaume hatusamei hii kitu ........... labda tukinuna inaweza saidia ?! tukawasamehe, .........ila kununa kwingine bora upigwe/gombezwe kiishe tu!huwezi kuwa umechakachuliwa huko nje, halafu mwanaume wako asinune eti kwasababu hiyo sio staili yao!!NO.........
Elli hapo sasa ..........lakini ivi inawezekana mwenzio akiwa amenuna wewe ukawa na furaha ......... nilidhani shida yako ni yake pia .............. au ni kwenye vitabu tu!?Ukiona kanuna na mwanamke ana furaha basi ujue wamebadilishana majukumu, mke kawa mume na mume kawa mke!!! hapo sasa!!!
kaka ati hizo ni zilipendwa ...................... kama umemshindwa mrudishe kwao!ninune niue cell zangu bure, mi nakuchana ryt on point, ukikiri nacheki uzito wa kosa, then nacheki mstakabari wa ndoa yetu, mzani ukitulia nakusamehe,lyf goz on, everybody got weekness
jamani mimi sikumbuki lini nimenuniwa.................. hata kama kukiwa na kutokuelewana kidogo, lazima yeye ndo ataanza kunisemesha hata muda haujapita. sometimes bado nina mahasira yangu, mtu anaanza kujisemesha
Exactly mama Big! ......... ila sasa hapa ukikasirika wiki nzima si ndo inabadilika na kuwa kununa?! au bado ni kukasirika tu kwa vile ni mwanamme!?
Naona hii imekula kwa wanaume kwa kweli ............... sasa hata kama hataki kuomba msamaaHivi kabisa dume zima umnunie mpenzi wako eti huongei naye!jamani wanaume wengine wanamatatizo!
mwanaume utakiwi kununa bwana kama mpenzio akikukera tafuta muda umueleze.tena mwanamke anaeleweshwa taratibu hata kama yeye ndio mwenye kosa. wanaume mnaopenda kununa muache.aibuuuuuuuuuuuuuu
Sasa hapa si wewe ndie ulokuwa umemuna au nimekosea? ...........ghafla mihasira inaisha au madeko yanaanzejamani mimi sikumbuki lini nimenuniwa.................. hata kama kukiwa na kutokuelewana kidogo, lazima yeye ndo ataanza kunisemesha hata muda haujapita. sometimes bado nina mahasira yangu, mtu anaanza kujisemesha
Hahahh ati mpaka na mende wanatawanyika ................. MJ1 una mambo, lakini mwanamke lazima uti na chumvi kila la sivyo haipendezi Hapo kwenye pink kumbe huwa hampendi tukinunua sasa kulikoni mwatukasirisha ?Watu mna bahati mwe............wengine tulikuwa tukinuniwa hadi mende wanatawanyika ndani ya nyumba. Usiombe. Mwna akikununia weye mpaka wakwe wananumiwa anaume ananuna wiki kazi inabaki kwako bi dada kila kukicha watafuta sababu ya kumcover mara leo ah ba flan kaamka hajisikii vizuri ndo mana wamwona hivi, mara kuna mtu kamdhulumi pesa zake .......ili mradi tu utoe nishai ah...mi ctaki
asente mwal kwa ufafanuzi ........... hapa ulimaanisha mbaya kweli mie nkadhani huwa hamupendi hii haya ya akina baba kununa ati............... ila nasikia mnuno ukiisha sherehe yake ni ya kishindo......!GFM tofauti halisi kati ya kukasirika na kununa ni
1. Kukasirika ni kule mtu kachukia, anabwata (analisema ) lililomchukiza kisha yanaisha .....kamaliza mtaanzaongea na maisha yanaendelea
2. Kununa inawezekana mhusika alichukizwa akalisema lililomchukiza au asiliseme lakini bado anaendelea kuchukia (ikiambatana na kutokuongea na mwenzake/kumjibu kimkato n.k)
Bahati mbaya wanaume wengi wanauwezo wa kuyasema hayo yanayowaudhi na kisha wamemaliza (wapo wanaoshindwa kulisahau). But wanawake wengi hushindwa kuyasema yale yalowakera (wapo wanaosema) na badala yake huishia kununa
Darl......vikombe tu kabatini vagongana itakuwa sie wenye miguu na mikono?? Kuudhiana ni kitu cha kawaida (Isizidi mipaka lakini)Hahahh ati mpaka na mende wanatawanyika ................. MJ1 una mambo, lakini mwanamke lazima uti na chumvi kila la sivyo haipendezi Hapo kwenye pink kumbe huwa hampendi tukinuna sasa kulikoni mwatukasirisha ?
asente mwal kwa ufafanuzi ........... hapa ulimaanisha mbaya kweli mie nkadhani huwa hamupendi hii haya ya akina baba kununa ati............... ila nasikia mnuno ukiisha sherehe yake ni ya kishindo......!
nenoInategemea mpenzi kama hakuwa na wa kumsherehesha wakati wa mnuno ah siku ya kupatana huwa ni sherehe haswaaa lakini kama ndo ilikuwa kwako mnuno kwa mwenzio kicheko loh mbona yala kwako??......... maana utabembeleza hadi akiamua kumaliza mnuno we unaambulia tu ........"Bahati yako"..... hakuna cha tendo wala kiss labda a peck on your cheek tena ya kulazimisha.......mapenzi haya nyie yaacheni tu mwe
Hahah vikombe wavigongesha wewe ati................... hapo kwenye pink weweDarl......vikombe tu kabatini vagongana itakuwa sie wenye miguu na mikono?? Kuudhiana ni kitu cha kawaida (Isizidi mipaka lakini)
Hapo kwekundu....kwani nanyi hamtuudhi sweetheart??