Mwanaume hakikisha hukosi vitu kama hivi kwenye hazina yako

Kwani huwezi kumuandaa vizuri mpaka akalowa mwenyewe with her natural lubricants mpaka mtiane mafuta.?
Inategemeana na mazingira na muda.

Kama tumekutana tu ukaanza kuomba hela basi mimi muda wa kukuandaa sina.

Unamuandaa mwanamke wako wa kudumu ama angalau ambae umemzoea.
 
Kesho nasafiri kwenda Nyanda za Juu kusini na kisha nitaenda Kigoma, mojawapo ya vitu vya muhimu siwezi kuacha ni hivi hapa chini.

Mwanaume hakikisha hukosi hivi vitu kwenye hazina yako uendapo popote.

NB: KY ni kwa ajili ya kulainisha kuhakikisha hakuna mchubuko na sina matumizi nayo zaidi ya hilo. Maana short sighted people hamkimbilii kusema hiyo jelly inatumika nyuma kama mlivyokariri wakati ni lublicants ambayo inaweza kutumika kuondoa mchubuko.

- vitu vya kizinzi tu na uasherati, halafu J2 upo front seat kanisan
 
Ewe mzinzi, taja kila kimoja na kinapatikana wapi ili wanaume wenzio wasikwame.
Vyote vinapatikana famasi mkuu.

Durex condoms ziko famasi.

SD Bioline zinauzwa famasi moja elfu 3 ana 4 hadi 5 ila isizidi hapo kwa ajili ya kupimia ukimwi na kikopo cha maji yake ama buffer solution.

Kuna pricker,visindano vya kutobolea kidole ili kutoa damu.

Kuna KY Jelly kwa ajili ya kulainisha. Kuna wanawake wengine ni wakavu sana hata umfanyeje anakauka haraka. Sasa risk ya kuepuka michubuko tumia hayo mafuta unakula nyapu fresh tu.

KY ni safe kuliko kutumia lublicants za mitaani kama mafuta ya masaji nk ambayo hayajathibitishwa na wataalam kumuingizia mtu kwenye mwili wake unaweza kumletea matatizo, KY ni approved lublicants. Wale wanaofira pia huyatumia haya ingawa mimi sifanyi hivyo. Hii inapatikana famasi pia, bei haizidi elfu 12.

Hope nimejibu maswali yako
 
Hayo yanatibika mkuu.

Tunapambana na magonjwa yasiyotibika kwa sasa.
Ila kwa muda mfup nmegundu mwana una uelewa mfup sana wa maswala haya..kiufup wew ni limbuken wa mapenz....utakuja kufa kwa ngoma usipokua makin...nakuonya tu

Unahis hzo rapid test ndo kila kitu na hyo ky..daah...et magonjwa mengne yanatibika ..dah..kwel watu hamjipend
 
Wewe huna cha kunifundisha kuhusu hayo magonjwa ama mapenzi ambacho mimi sikijui. Huna.

Huna cha kunifundisha kuhusu vipimo vya ukimwi kuqnzia rapid tests zote kuanzia bioline, unigold, elisa ama pcr.

Uelewa wangu kwenye hayo mambo ni mkubwa kiasi kwamba hakuna mtu kwenye ukoo wenu anaweza kunielekeza ama kunifundisha.

Limbukeni wa mapenzi, kwani wewe ni mke wangu hadi ujue mimi ni limbukeni wa mapenzi? Mbona unajifanya kunijua kama vile wewe ni mke wangu ama nilishawahi kukufumua mavi?
 
Bado nachelea kusema ..uelewa wako ni mdogo sanaa na naiona future yako kabisa yan....nakuonya mara ya pili...utakuja kufa kijana siku si nying....
 
Bado nachelea kusema ..uelewa wako ni mdogo sanaa na naiona future yako kabisa yan....nakuonya mara ya pili...utakuja kufa kijana siku si nying....
Wewe huna akili kabisa. Sasa mimi nikifa wewe utaishi milele? Kamuonye mume wako
 
Back
Top Bottom