Mwanaume hakikisha hukosi vitu kama hivi kwenye hazina yako

Vyote vinapatikana famasi mkuu.

Durex condoms ziko famasi.

SD Bioline zinauzwa famasi moja elfu 3 ana 4 hadi 5 ila isizidi hapo kwa ajili ya kupimia ukimwi na kikopo cha maji yake ama buffer solution.

Kuna pricker,visindano vya kutobolea kidole ili kutoa damu.

Kuna KY Jelly kwa ajili ya kulainisha. Kuna wanawake wengine ni wakavu sana hata umfanyeje anakauka haraka. Sasa risk ya kuepuka michubuko tumia hayo mafuta unakula nyapu fresh tu.

KY ni safe kuliko kutumia lublicants za mitaani kama mafuta ya masaji nk ambayo hayajathibitishwa na wataalam kumuingizia mtu kwenye mwili wake unaweza kumletea matatizo, KY ni approved lublicants. Wale wanaofira pia huyatumia haya ingawa mimi sifanyi hivyo. Hii inapatikana famasi pia, bei haizidi elfu 12.

Hope nimejibu maswali yako
Mkuu wewe ni kiboko
 
Juzi kati kuna bar maid wangu wa enzi hizo chuo nilikua nakula,after kupotezeana miaka kadhaa ,nimekutana nae,akanikaribisha ghetto kwake kabla sijamla nikaona anavuta droo lake akatoa hizo dhana tukapimana then ikapigwa show moja heavy.
mkuu Kwahiyo ulizibua mtaro? Vipi nanga ilitoka na tope? 😝
 
Kesho nasafiri kwenda Nyanda za Juu Kusini na kisha nitakwenda Kigoma, mojawapo ya vitu vya muhimu siwezi kuacha ni hivi hapa chini.

Mwanaume hakikisha hukosi hivi vitu kwenye hazina yako uendapo popote.

NB: KY ni kwaajili ya kulainisha kuhakikisha hakuna mchubuko na sina matumizi nayo zaidi ya hilo. Maana short sighted people hamkimbilii kusema hiyo jelly inatumika nyuma kama mlivyokariri wakati ni lublicants ambayo inaweza kutumika kuondoa mchubuko.

View attachment 1963008
well noted
 
Nikupime.

Kondomu.

Ky.

Kiukweli siwezi hivyo viwili labda kutumia KY magonjwa ni Allah anapanga
 
Nakuombea ukakutane na pisi imetumika week 3 nyuma ikaungua ukapiga hio bioline ikasoma negative ukapeleka dry ukachubuka uukwae
Kwanini unamuombea mwenzako mabaya?, Unadhani MUNGU anasikia maombi ya namna hii?. Binadamu tupendane na tuombeane mema.
 
Kesho nasafiri kwenda Nyanda za Juu Kusini na kisha nitakwenda Kigoma, mojawapo ya vitu vya muhimu siwezi kuacha ni hivi hapa chini.

Mwanaume hakikisha hukosi hivi vitu kwenye hazina yako uendapo popote.

NB: KY ni kwaajili ya kulainisha kuhakikisha hakuna mchubuko na sina matumizi nayo zaidi ya hilo. Maana short sighted people hamkimbilii kusema hiyo jelly inatumika nyuma kama mlivyokariri wakati ni lublicants ambayo inaweza kutumika kuondoa mchubuko.

View attachment 1963008
Hongera sana Mkuu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kesho nasafiri kwenda Nyanda za Juu Kusini na kisha nitakwenda Kigoma, mojawapo ya vitu vya muhimu siwezi kuacha ni hivi hapa chini.

Mwanaume hakikisha hukosi hivi vitu kwenye hazina yako uendapo popote.

NB: KY ni kwaajili ya kulainisha kuhakikisha hakuna mchubuko na sina matumizi nayo zaidi ya hilo. Maana short sighted people hamkimbilii kusema hiyo jelly inatumika nyuma kama mlivyokariri wakati ni lublicants ambayo inaweza kutumika kuondoa mchubuko.

View attachment 1963008
Umesahau vumbi mwenyekiti..
 
Back
Top Bottom