adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,477
- 4,270
Katika kipindi cha njia panda cloudsfm mchana huu! Kimenigusa sana.
Mimi kama kijana ambaye najiandaa kuingia katika maisha ya ndoa siku za usoni. Natumia muda mwingi kujifunza kwa namna tofauti maisha ya ndoa yalivyo. Kwa kuwa hakuna a general formular popote unaweza kupata elimu na ikakusaidia.
Kwa kipindi hiki cha njia panda nimejifunza yafuatayo:
1. Mwanaume anatakiwa awe na heshima kwa mkewe na familia yake kwa ujumla. Hata kama una mipango yako ya kando usimuonyeshe mkeo au familia yako. Mwisho wa siku mkeo atakudharau then mambo yanaanza kuharibika taratibu.
2. Mwanaume ndio kichwa cha familia. No matter what happens.. In any situation.. Jaribu kumaliza mambo mwenyewe. Kamwe usishirikishe mtu wa pembeni jambo la ndani ya familia yako. Ni nidhamu ya uoga. Hata mkeo anaweza akuone ni mtu wa kutojiamini n hata ile sense of security kila mwanamke analilia kwa mwanaume inapotea taratibu.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums