Mwanaume, fanya mambo yako lakini mheshimu Mkeo!

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,475
4,265
Katika kipindi cha njia panda cloudsfm mchana huu! Kimenigusa sana.

Mimi kama kijana ambaye najiandaa kuingia katika maisha ya ndoa siku za usoni. Natumia muda mwingi kujifunza kwa namna tofauti maisha ya ndoa yalivyo. Kwa kuwa hakuna a general formular popote unaweza kupata elimu na ikakusaidia.

Kwa kipindi hiki cha njia panda nimejifunza yafuatayo:
1. Mwanaume anatakiwa awe na heshima kwa mkewe na familia yake kwa ujumla. Hata kama una mipango yako ya kando usimuonyeshe mkeo au familia yako. Mwisho wa siku mkeo atakudharau then mambo yanaanza kuharibika taratibu.
2. Mwanaume ndio kichwa cha familia. No matter what happens.. In any situation.. Jaribu kumaliza mambo mwenyewe. Kamwe usishirikishe mtu wa pembeni jambo la ndani ya familia yako. Ni nidhamu ya uoga. Hata mkeo anaweza akuone ni mtu wa kutojiamini n hata ile sense of security kila mwanamke analilia kwa mwanaume inapotea taratibu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
very true...hakikisha kimada unakuwa nacho ila always sleep nyumbani kwa wife!!!
 
Naona kama unaji-contradict, ukishakuwa na kimada utadai vipi kwamba unamheshimu mkeo? Kile kitendo tu cha kumuonyesha uchi wako mwanamke mwingine, ni kumkosea mke wako kwa kiwango kikubwa sana.

hahaha wewe hilo la wanaume kuwa na vimada mbona kawaida. kweli kumega papuchi ya mwanamke mwengine ni kumkosea heshima wife lakini utamu jamni ndio unatufanya tufanye hivyo. sasa kama wewe wataka mwanaume ambaye hana mpango wa kando basi nenda sayari nyingine
 
Kama hakuna mwanaume asiyeweza kuishi bila kumega nje na kama kumega nje ni tabia ya wanaume wote wa 'sayari' hii, basi bora niishi pekee kabisaa kuliko kujipa maradhi ya moyo mtoto wa watu.
 
hahaha na ulivyokuwa mzuri...loh! kweli bora ujiweke pembeni maana kila leo utkuwawalia tu...alaufu jamaa anaenda gegeda demu ambaye uzuri C wakati wewe A
 
Yani hata akikudanganya ameshuka kutoka mbinguni na sahani ya dhahabu jana,jiandae tu atakutenda.mana kama unavoona wenyewe wanakiri kuwa uende sayari ingine ila wao ufuska lazima iyo inamaana,wanafanya kwa kuchagua.

Kama hakuna mwanaume asiyeweza kuishi bila kumega nje na kama kumega nje ni tabia ya wanaume wote wa 'sayari' hii, basi bora niishi pekee kabisaa kuliko kujipa maradhi ya moyo mtoto wa watu.
 
Inauma jamani wanaume hiyo tabia ya kwenda kudu na wanawake wengine maana mnakua hamna mmoja wanaume nyie mhmm ukweli nikigundua mwanaume wangu cha wote nitasepa sikai na mbuzi wa shughuli analiwa na wageni walikwa na wzamiaji me sitamla tena loh tabia mbaya
 
mwanaume kuwa na kazi ya nje haiepukiki!labda ukute aliyeamua 2 kutulia na ana hofu ya Mungu.unless otherwise hakunaga!
 
Inauma jamani wanaume hiyo tabia ya kwenda kudu na wanawake wengine maana mnakua hamna mmoja wanaume nyie mhmm ukweli nikigundua mwanaume wangu cha wote nitasepa sikai na mbuzi wa shughuli analiwa na wageni walikwa na wzamiaji me sitamla tena loh tabia mbaya

Hapa tutaongea wee!bt trust me:wanaume waliooa 99.9% wana kazi za nje,na sbb zipo.
 
Imenigusa sana. Ila sitafanya hayo maovu niombeeni pia. Amen
 
Kwani huyo mwanamme akitoka nje si anafanya na mwanamke? Nashangaa mnavotoa povu kuwasema wanaume! Hata nyie mnahusika. Hili ni jambo letu wote na si la jinsia Fulani.
 
Commitment alitoa mwanamme, si kimada kwahiyo haina haja kumkoromea.

Kwani huyo mwanamme akitoka nje si anafanya na mwanamke? Nashangaa mnavotoa povu kuwasema wanaume! Hata nyie mnahusika. Hili ni jambo letu wote na si la jinsia Fulani.
 
Mwanamme chovya chovya huwa zero kwenye maendeleo nyumbani. Utakuwaje na muda wa kuhudumia familia, kuenda kazini na kuhudumia kimada na labda watoto wa kimada? Ukiona akili yako inakutuma kutafuta mwanamke nje just know you are not busy enough, you are destroying yor family and your children will resent you for it.

very true...hakikisha kimada unakuwa nacho ila always sleep nyumbani kwa wife!!!
 
Mama usiwe mkali. Anamaanisha na wewe ni ruksa.kuwa.na kidumu ilimradi na yeye asijue. Ndoa za siku hizi ni full kujiachia, bana ana small jse, mama ana kidumu. Full network!
Naona kama unaji-contradict, ukishakuwa na kimada utadai vipi kwamba unamheshimu mkeo? Kile kitendo tu cha kumuonyesha uchi wako mwanamke mwingine, ni kumkosea mke wako kwa kiwango kikubwa sana.
 
Mama usiwe mkali. Anamaanisha na wewe ni ruksa.kuwa.na kidumu ilimradi na yeye asijue. Ndoa za siku hizi ni full kujiachia, bana ana small jse, mama ana kidumu. Full network!

mh!!....hii kali sasa, ok life goes on....
 
Ni kweli tupu lakini kuishi pamoja kuna kila aina ya mitihani unaweza wewe ukajaribu kuweka mambo sawa na mkeo akawa hakuelewi kabisa na amani inaiyona ikizidi kutoweka Je kuna ubaya wa kushirikisha ndugu au jama wa karibu wa familia yako ili waje kuokoa jahazi?
Unaweza ukawa kidume shupavu kuyakabili matatizo ya nyumba yako na utaki kushirikisha wengine lakini mkeo akawa wa mwanzo kwenda kuwashirikisha kama baba na mama aidha wako au wake ili wawaweke sawa na kuwa kama zamani
Ndugu sio kila kitu unachosikia ni cha kuajribu kuna vingine tunahitaji kufikiria kwa umakini sisi binadamu tuko toafa
uti​
 
Back
Top Bottom