Mwanaume bahili wa kazi gani?

Mwanaume bahili wa kazi gani?

zamani wanawake walikuwa wanapenda kutoa kuliko kupokea asa ndo wanapenda kupokea kila kitu wao hataaa!
 
Ukiona hivyo hajalainishwa kwa fedha Mkuu.
Fedha ni kilainishi kizuri kwa mwanamke lakini kama mwanaume anakuwa bahili na papuchi hapati

Aiseee.... umenikumbusha 'BATA TREDI'.... unatoa bidhaa hii/hizi ili upate bidhaa ile/zile

BY THE WAY KIPI KIANZE, KUTOA HELA AU PAPUCHI?

Last but not least...KWANI INA TV NDANI..?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom