Mwanaume bahili wa kazi gani?

Mwanaume bahili wa kazi gani?

Inapofikia hatua unataka kuolewa ni muhimu mwanaume awe angalau anao uwezo wa kulisha familia lakini kwenye hatua ya u girlfriend na u boyfriend haina haja ya kutaka upewe fedha. Mwanamke anayependa fedha ndiyo mapenzi yaendelee mi huwa namchukulia sawa na wale wa buguruni,manzese na kiģamboni kule maana ni sawa na kubadilishana good and services. Mpenzi muda mwingine akisema baby naomba hela nikanunue kitu fulani jibu ni rahisi tu unamuuliza ULIVYOMWAMBIA BABA/MAMA YAKO amesemaje ? maana huwa bado chini ya wazazi
 
Kupenda fedha ndiyo chanzo cha wengi kuachwa na kuanza oooho wamenichezea tu hawa wanaume. Mwanamke una kazi yako bado unataka mwanaume akupe pesa hii siyo sawa kama unapenda hela zako nasi tunazipenda pia
 
huu upuuzi eti nihonge ndo nitoe papuchi ni ushenzi tuu,,mm nihenyeke juani kufanya kazi alafu nije nikuhonge na kitandani nijitutumue kuhakikisha unakojoa,,,nasema iviii hela sitoi ,,,ukijisahau nikakuvua nisahau pia,,hata nikakuhonga ukanipa huo uchi sirudii tena,,,,nasema ivii I DONT *** TWICE THE SAME P
 
Starehe anayokupa... Because most of men wants women to please themselves. So,Kama unaona hakuna ulazima wa kuwahonga chaputa is your best option
Mkuu siwezi kupiga chaputa wakati za kununua zipo sio hawa wanao jifanya hawauzi na wanashinda kutuchuna
 
Mkuu siwezi kupiga chaputa wakati za kununua zipo sio hawa wanao jifanya hawauzi na wanashinda kutuchuna
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] go east go west,uta honjombora na ela utatoa tu. Kwani hiyo ya kununua unanunua kwa mawe?
 
ndo mana siku hizi naona bora kujipigiaga Malaya nikiwa na hamu wanawake sinaga habar nao mabinti wachuo ndo kabisa sijaribu mana ni vibomu kwenda mbele
 
WEWE HAUWEZI KUFANYA KAZI?
Si una mikono? Si una miguu ? Wacha kutegemea pesa ya mwanaume utapanuka nyapu kama lake victoria ,
JIJENGEE TABIA YA KUTHUBUTU KUJIENDELEZA NA SIO KUTEGEMEA PESA ZA WANAUME.
 
Ukiona wewe unamtazamo kwamba mwanaume anapswa akupe hela lazima ujiulize unafanya kazi gani?
Hela inayotoka inalipia kitu ambacho lazima ukijue.
Ikiwa na maana wewe mwanamke unanunuliwa na huyu mwanaumea na unadai utu wako wewe ni bidhaaa na ikiwezekana tangaza bei watu wafike dau.
Nakununua halafu unasema nakudharau acheni kuaibisha wanawake wanojiheshimu wenye maisha yao walioanzisha familia na wanaume kwa minajili ya kuanzisha familia.
Sio mwanamke unapata ajira ya kuolewa halafu unademand kuheshimiwa na kuyonyanyaswa na mmiliki wako.
Hiyo ni bishara haramu ya utumwa ilishafutwa .
Tafafhali msiwadhalilishe wanawake jie vidada viuza utu na viajiriwa kwenye ndoa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] go east go west,uta honjombora na ela utatoa tu. Kwani hiyo ya kununua unanunua kwa mawe?
Ya kununua haina usumbufu maana huwezi kuhangaika kumfikisha kileleni na hawezi kukusumbua Mara hela ya kusukia Mara amepita ameona gauni zuri
 
View attachment 502106

View attachment 502107

Upendo ni muhimu katika mahusiano, lakini mwanaume kuwa na fedha hufanya mapenzi kuwa na mvuto zaidi. Mwanaume ni lazima awe na fedha kwa ajili ya kumnunulia mpenzi wake zawadi mara kwa mara siyo leo amemnunulia mpenzi wake kijizawadi ndiyo asubiri mwakani, lakini pia kumtoa mpenzi wake out au kuwa na mitoko ya mara kwa mara ni muhimu achilia mbali kuwa na kawaida ya kumtumia mpenzi wake fedha za matumizi mbalimbali na pia muda wa maongezi kwenye simu yake yote haya ni muhimu kwa mwanaume kumhudumia mpenzi wake.

Mambo haya yanatakiwa kufanywa na mwanaume bila kusubiri kuombwa na mwanamke maana si kila mwanamke anajua kuomba omba lazima mwanaume ajue wajibu wake wa kumhudumia mpenzi wake badala ya kusubiri mpaka aombwe. Kila mwanamke anapenda kuwa na mwanaume atakayemudu kumhudumia kwa kila kitu hapo ndipo mapenzi yanapokolea na mwanamke kujitoa kwa mwenzi wake na kuhakikisha anampa raha wakati wote.

Huu ujumbe hauna maana ya kuwananga na kuwatweza wanaume wasio na fedha, la hasha, najua kutokuwa na fedha ni suala la muda tu lakini pale utakapojaaliwa hata kidogo jitoe kwa kumpa mwenzi wako fedha na kumnunulia vijizawadi vidogo vidogo na yeye anaiona hali yako atakuheshimu.

Kuna ile mijanadume ambayo ina fedha lakini mibahili ka nini, hiyo ndiyo uzi huu unawahusu sana. Jamanieeee Wanaume msiwe wabahili kuwahudumia wapenzi wenu kwani ubahili utawafanya kila mwanamke awakimbie na mwisho wa siku utaishia kuitwa shemeji

Kwa wanawake wenzangu. Kamwe tena naomba kusisitiza, Kamwe usijitie kiherehere kumhudumia mwanaume, kumbuka fedha zako zikiisha atakutosa na kutafuta mwanamke mwingine.

Ni ushauri wangu wa bure

CC: charminglady, Nifah, Miss Natafuta, snowhite, BADILI TABIA, gfsonwin, King'asti, Super women 2,
Kuna kundi dogo la wanawake limebak wana hayo mawazo wenzao washaga ona ni ujinga siku iz wana jitafutia wenyew
 
Hahahah. Tatizo kufanya yote hayo sio gurantee ya kuwa mwanamke hatokufanyia ushenzi, huwa mnajisahau sana dada zetu. Mtu anakujali kwa kila hali mwisho wa siku unamfanya boya kama hana akili si ndio michezo yenu??? Hakuna kitu kinakera kama mtu umuamini halafu akufanye mjinga.

Ndio maana nashauri tu wazee wenzangu tuwe ma selfish tu. Wanawake wa kileo ni wa kutimiza haja zako tu bila pressure ila usimuwaze. Hawaridhikagi na ni wabinafsi sana unaweza kuwaza kufanya nae maisha ukajitoa sana akakubadilikia in a blink of a second ukabaki unajuta muda uliopoteza kwa kumthamini.
 
Itachukuwa muda mrefu kweli kuufikia usawa wa Beijing ikiwa mtazamo wa hawa Dada zetu ni huu!! Na huu utegemezi ndio utaendelea kuifanya species yenu kuendelea kutawaliwa na wanaume!
 
Wanawake mshaharibikiwa, wote mmekaa kama wafanyabiashara. Huwa mnataka fedha za nini lakini. Bora kama mngekuwa benki ningejua naweka hazina lakini hata mkipewa mnazitumia hovyo. Kwa mwendo huu hata zawadi ya pipi Ivory kutoka kwangu mtakosa
 
hizo akili za kike za siku hizi ndio zinasababisha hamuolewi.
kwa nn usiwaze kusaidiana badala ya kutaka upewe tu?!! usiwapotoshe wenzio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom