Mwanaume atatulia iwapo tu ataamua mwenyewe

Mwanaume atatulia iwapo tu ataamua mwenyewe

Pia mazngira ya mwanamke humfanya pia mwanaume walau apunguze kupga nje
 
Ni ukweli usemayo lakini sio ukweli wote. Ukweli wote uko hivi: Mwanaume akiamua mwenyewe kutulia, uamuzi huo hautoki ndani mwake pekee ila pia kuna external factors zinazoathiri uamuzi huo. External factor moja kubwa ni mwenendo wa mwenzake. Kama mwenzake - mke au mchumba - katulia na ana tabia nzuri, mume/rafiki aweza kabisa kujisemea: "kuhangaika huku kutanifikisha wapi? Ngoja niachane na haya mambo." Na anaacha anatulia. Ukiona hivyo usidhani ni nguvu zake mwenyewe!


Nakataa eti mwendo wa mwenzake.

Alilosema mleta mada limesimama zaidi ni namba moja.
 
Hebu funguka unaharibu maumbile kivipi ili kumvutia mume!? kujiremba? 😕😕
Mkuu BAK,yaani hatari kabisa,kuharibu maumbile mbona siku hizi hakuna alie salama,yaani valve zote kwishney,ni full matope maana ile ni tigo pesa,mambo ya voda fasta ni watoto wa primary school tu ndio wanatumia.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom