Mwanaume atatulia iwapo tu ataamua mwenyewe

Mwanaume atatulia iwapo tu ataamua mwenyewe

Utandawazi unachangia sana Mkuu, na waswahili wanasema muonja asali haonji mara moja hutaka kumaliza kibuyu chote cha asali.

Mkuu BAK,yaani hatari kabisa,kuharibu maumbile mbona siku hizi hakuna alie salama,yaani valve zote kwishney,ni full matope maana ile ni tigo pesa,mambo ya voda fasta ni watoto wa primary school tu ndio wanatumia.
 
wanawake wengi wanaona waganga wana uwezo mkubwa kuliko MUNGU. Ndio maana kwa waganga wanajazana kila kukicha. Wakitapeliwa huku wanahamia kwa Mganga mwingine kutapeliwa
Mr Boojbooj,ngoja niweke tangazo langu la uganga hapa:MIMI KARANJA NATIBU MAPEPO,DAWA YA MVUTO,DAWA YA KUMFUNGA MWANAUME ASIWE NA WAPENZI WENGINE,DAWA YA KUMFANYA MWANAMKE AWE MTAMU,DAWA YA KUMFANYA MPENZI MWENYE PESA AKUSIKILIZE WEWE TU:NB NI KWA WANAWAKE TU, KARIBUNI PM.
 
Utandawazi unachangia sana Mkuu, na waswahili wanasema muonja asali haonji mara moja hutaka kumaliza kibuyu chote cha asali.
Si uongo Mkuu,tigo tamu na ina addiction kama madawa ya kulevya,maana ukianza kula hiyo kitu,basi ujue iko siku utaanza kuinyonya kama ukwaju.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hata mwanammke pia!
hakuna kinachoweza kumtuliza mwanammke ,zaidi ya mwanammke anaetaka kutulizwa.
MWANAMKE ATATULIA TU LABDAAA(0.0001%) AKIFUMANIWA....BUT YEYE MWENYEWE TU AANZAE KUFANYA HALAFU TU FROM NO WHERE AAMUE KUACHA HICHO KITU NI KIGUMU SANA.
 
Tatizo ni kwamba, sio kila mwanaume anauwezo wa kufikia hayo maamuzi ya KUTULIA japo kuchepuka inatugharimu vingi.
Unanisema. Unajua nimeshindwa hata kujenga kwa sababu yao!
 
Kweli kabisa, watakaokuelewa ni wanaume waongozwao na roho wa Bwana na siyo vinginevyo.
 
Hiyo nyumba unaijengea hewani?mbona sijawahi kuona hata kiwanja?
Hahaaaaa,naona umenimwaga tayari,maana hamkawii kukanusha mkiona mabuzi yamefulia,kwa kuwa sina pesa sasa hivi,utasema ile nyumba plot 110 kitalu B sikujenga mimi,daah halafu unachukuliwa hivi hivi mbele yangu,basi ngoja nikajinyonge tu.
 
Nipo

Bata kidogo kidogo, nipe mchongo wapi lipo niende.
Usijali mamii,safari hii nakupeleka Kijereshi Tented Camp katikati ya Serengeti,ni Moet,Dompo Perignon,Martini on the rocks,Amareto cock tail,Sambuca, etc etc bila kusahau Malibu rum na Kumala wine,tukiunganisha na Afrique Buffalo barbeque,Ostich mixed grill,Oxtail,Pokozen(smoked) pork grill with plenty of salad with pickled eggs etc etc tunatanua by the pool overlooking African Sunset,surounded with exotic wildlife accompanied with birds of different spicies,hapo tunapiga camp kwa siku 10,mamii ni paradise,be prepared.
 
Hahaaaaa,naona umenimwaga tayari,maana hamkawii kukanusha mkiona mabuzi yamefulia,kwa kuwa sina pesa sasa hivi,utasema ile nyumba plot 110 kitalu B sikujenga mimi,daah halafu unachukuliwa hivi hivi mbele yangu,basi ngoja nikajinyonge tu.
Kabla haujajinyonga hebu nitumie kabisa m-pesa yakuanzia msiba
 
Si atakupa huyo huyo anaekudanganya mpaka ukanibwaga au?,au nae kafulia?
Hakuna anayenidanganya ila naona unanibwaga kimjini mjini maana hiyo nyumba hata kuinusa tu sijawahi kwanini sasa useme umenihonga?
 
Hakuna anayenidanganya ila naona unanibwaga kimjini mjini maana hiyo nyumba hata kuinusa tu sijawahi kwanini sasa useme umenihonga?
Basi baby,itabidi nikujengee ingine labda ndio utaaamini,weekend uwe tayari nikupeleke fasi za bata halafu tupange yajayo mamii au vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom