Tunajielewa mpapa tunapitiliza hio ndoshida yetuHivi Wanaume mnajielewa kweli?
Haha haha haha haha- 5 people likes
Mbona hizo LIKES zako zinasoma Negative????
Ni ukweli usemayo lakini sio ukweli wote. Ukweli wote uko hivi: Mwanaume akiamua mwenyewe kutulia, uamuzi huo hautoki ndani mwake pekee ila pia kuna external factors zinazoathiri uamuzi huo. External factor moja kubwa ni mwenendo wa mwenzake. Kama mwenzake - mke au mchumba - katulia na ana tabia nzuri, mume/rafiki aweza kabisa kujisemea: "kuhangaika huku kutanifikisha wapi? Ngoja niachane na haya mambo." Na anaacha anatulia. Ukiona hivyo usidhani ni nguvu zake mwenyewe!Uzuri na urembo wako, pamba na mkorogo, makalio na mahips ulivyonavyo kamwe havitamfanya mwanaume uliye naye awe wako peke yako.
Unajidanganya.
Mwanaume hatosheki hata umpe kila Tundu bado tu atatoka. Mwanaume atatulia iwapo tu ataamua MWENYEWE kutulia.
MUOMBE MUNGU AMPE MUME WAKO KUTULIA, WANAWAKE WANAOPITA MBELE YAKE AWAONE KAMA SCORPION WA BUGURUNI.
kweli mkuu maombi ni muhimu sana kuliko kwenda kwa kalumanzila na kuficha nyama shimoni
Kudos, ,,,hata mwanammke pia!
hakuna kinachoweza kumtuliza mwanammke ,zaidi ya mwanammke anaetaka kutulizwa.
inatakiwa mwanamke amlinde mumewe kwa maombi, wao wamejiongeza eti wanamlinda kwa limbwata''Mungu amefanya jambo jipya duniani ya kwamba Mwanamke ATAMLINDA Mwanaume (Mumewe)'' Yer 31:22 b
very true! hata umpe nini unaweza ukamkuta na mwanamke mpaka unajiuliza huyu anamatatizo gani? na ukimkuta katulia mbona unasema pepo ya dunia yangu peke yangu..Uzuri na urembo wako, pamba na mkorogo, makalio na mahips ulivyonavyo kamwe havitamfanya mwanaume uliye naye awe wako peke yako.
Unajidanganya.
Mwanaume hatosheki hata umpe kila Tundu bado tu atatoka. Mwanaume atatulia iwapo tu ataamua MWENYEWE kutulia.
MUOMBE MUNGU AMPE MUME WAKO KUTULIA, WANAWAKE WANAOPITA MBELE YAKE AWAONE KAMA SCORPION WA BUGURUNI.
inatakiwa mwanamke amlinde mumewe kwa maombi, wao wamejiongeza eti wanamlinda kwa limbwata
ndiyo manvyojidanganya tunagongwa vizuri tu
Lakini mimi nimetulia kwako mtani...teh teh!!Naked truth...
Mwanaume atatulia kama ataamua mwenyewe kutulia...
Ndio maana sipendi kuichosha nafsi yangu na kukuru kakara mpaka za kuharibu maumbile eti kumvutia mume asitoke.
yerewiiiiiiiiindiyo manvyojidanganya tunagongwa vizuri tu
kila mtu afanye kwa nafasi yake.. muda ukifika atakituliza tu
Samahani lakini, umeolewa?kila mtu afanye kwa nafasi yake.. muda ukifika atakituliza tu
Me sitakiSamahani lakini, umeolewa?