Mwanaume atatulia iwapo tu ataamua mwenyewe

Mwanaume atatulia iwapo tu ataamua mwenyewe

Mkuu Ficus,kaa mbali na mali za watu bhana,huyo mtoto kapata Mkurya wa Rorya,anapata pozo la roho na chakula cha moyo,usione anapendeza anagharamiwa,lakini kumbuka hii(SASA UNAINGIA MKOA WA MARA).
Una pesa ww? Mtoto wa kichagga anataka pesa sio mapanga.
 
na kuna wanaume wanatongoza wenye mimba atakuhonga chochote kilichondani ya uwezo wake akule tu mzigo
kwa huo utam mnaokua nao mkiwa na mimba lazma tuwahonge tu binafs n mhanga hyo ktu aseee hata ukinambia upo mkoan naweza kukutumia nauli hyo ktu n tamu bhn
 
halafu sisi tukiwa tunafanya ibada nyie mnafanya makusudi kutiana huko nje.. sasa hamjui tu wanawake ukipiga vumbi la kulia sie twapita la kushoto tutakutana mbele halafu kimya kimya

Tunasemaga Nga nga ngaa imetait Kamba...Hainaga shidaaahhh!! Chapa lapa.. [HASHTAG]#ElasticityIssue[/HASHTAG]
 
Hapa namngoja Madame B nilifaidi kwanza lile zigo remix ndio niweke utulivu. Vinginevyo full kuwaparaza Nao mpaka wanilishe limbwata mseto
Nyooo, siku Ile mbona umetoka baru pale Kontena?
Unadhani mie mtu wa mchezo mchezo?
Kama kweli huniogopi mbona ukija home unaishia nje?
Kama kweli we kidume, siku ikija ingia ndani uone mziki wake.

Kwanza nimekumiss, hebu kesho njoo nikupeleke chimbo jipya na heavy.
Ila usipende sana mizigo hii, tutakuua wewe
 
Nyooo, siku Ile mbona umetoka baru pale Kontena?
Unadhani mie mtu wa mchezo mchezo?
Kama kweli huniogopi mbona ukija home unaishia nje?
Kama kweli we kidume, siku ikija ingia ndani uone mziki wake.

Kwanza nimekumiss, hebu kesho njoo nikupeleke chimbo jipya na heavy.
Ila usipende sana mizigo hii, tutakuua wewe
Nikifa kwa ajili ya Mizigo na Neema za Allah... Wallah nakwapia NITAKUWA NIMEKUFA KIFO CHA KISHUJAA SANA
 
Uzuri na urembo wako, pamba na mkorogo, makalio na mahips ulivyonavyo kamwe havitamfanya mwanaume uliye naye awe wako peke yako.
Unajidanganya.

Mwanaume hatosheki hata umpe kila Tundu bado tu atatoka. Mwanaume atatulia iwapo tu ataamua MWENYEWE kutulia.

MUOMBE MUNGU AMPE MUME WAKO KUTULIA, WANAWAKE WANAOPITA MBELE YAKE AWAONE KAMA SCORPION WA BUGURUNI.
Ameen inshaAllah
 
Ila kweli;
si tunawaona;
japo ana mke mzuri ila anatamani
jimama la hivi hivi, tena wanalia hata machozi.
 
Hapo cha msingi mi ninachokiona iwe kwa mwanamke au mwanaume suala la maadili mazuri au mabaya lipo kwa m2 mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom