Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,517
- 9,454
Imekuwa ni kawaida sana dunia ya sasa kujisifia vitu vya ajabu.
Kuna mengi ya kumfanya mwanaume kuwa mwanaume lakini sio hicho.
Wewe na nani? Speak for your damn self.
Huwa mnapenda kuongopewa..Hivi mkisemaga ukweli mnapatwa na nini?
Wewe na nani? Speak for your damn self.
Hivi mkisemaga ukweli mnapatwa na nini?
Imekuwa ni kawaida sana dunia ya sasa kujisifia vitu vya ajabu.
Kuna mengi ya kumfanya mwanaume kuwa mwanaume lakini sio hicho.
Kumbe nimekuwa mkali basi I am sorry.Mbona unakuwa mkali.?....nyie ndiyo mnatufanya tuwe hivi kwa sababu mnapenda kuongopewa, pili hampo real, maigizo maigizo tu.....so swaga za kishua lazima zichukue nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe nimekuwa mkali basi I am sorry.
"Wanaume ndivo mlivo" Seconded !!!
Ukisema ukweli wanawake utaishia kuwaita shemeji tu.Hivi mkisemaga ukweli mnapatwa na nini?
Sasa matusi ya nini....nani aliyetukana hapa......Sema ndivyo nilivyo na sio ndivyo tulivyo. Usitusemee sisi ambao sio wahuni wenzako. Watu empty set kama nyie ndo mnaofanya wanawake wasituamini na mwisho kuona wanaume wote ni wabaya kumbe kunguru mmoja tu. Shenzy....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkisemaga ukweli mnapatwa na nini?
Imekuwa ni kawaida sana dunia ya sasa kujisifia vitu vya ajabu.
Kuna mengi ya kumfanya mwanaume kuwa mwanaume lakini sio hicho.