Mwanaume asiyekuwa na maendeleo unawezaje kukaa nae?

Huyo ni changu msamehe
Tatizo la dada zetu ndio ilo wameelekezea matumaini yakutokea kimaisha kwa wanaume badala ya kuona watokaje wenyewe, yani mkiambiwa ata mshare bill tu wamesha kudisqualify nchi za wenzetu ni mambo ya 50/50 vingine ni huruma tu.

Yani kweli mitazamo iko tafauti mwanaume akiwa anasubiri deal moja apige au fursa ya kutokea wenzetu wanasubiri atokezee mtu amtoe kimaisha.
 
Mwanamke kuwa vyote hivo lkn still hamtaki challenges yaani mnataka hata mkimwambia kitu ambacho anaona si sawa akubali tu? Unajua vitu vingine sio submissive unakuwa ulimbukeni.

Huyo mwanamke unaemtaka wewe utampata iwapo anakutegemea ww kwa kila kitu?lakini kama tunajishirikisha wote kusukuma gurudumu la maisha lazima mwanamke awe na sauti na pande zote kuwe na usikivu!

I am sorry to say that.

Sijakosa mwanaume my dear i am taken already
Wwe huyo Mwanaume aliyekuchukua atakua kala hasara,mpe pole sana!!
 
Ndo maana wanaume wanakufa mapema wanavumilia na kutunza vingi moyoni toka kwa sisi wanawake.Japo nanyi wanaume mkishafanikiwa mnaanza kutudharau wanawake tuliowavumilia.No formula aisee
 
Tatizo la dada zetu ndio ilo wameelekezea matumaini yakutokea kimaisha kwa wanaume badala ya kuona watokaje wenyewe, yani mkiambiwa ata mshare bill tu wamesha kudisqualify nchi za wenzetu ni mambo ya 50/50 vingine ni huruma tu.

Yani kweli mitazamo iko tafauti mwanaume akiwa anasubiri deal moja apige au fursa ya kutokea wenzetu wanasubiri atokezee mtu amtoe kimaisha.
Ndivyo akili zao walivyozielekeza mkuu,yaani wanajihisi hawawajibiki kwa lolote ktk maisha yao ya mahusiano,yeye anaona haki yake ni kukutanisha vikojoleo tu na mwenzake ila maendeleo yoyote si suala lake,ni la mwenzake,hiki ndicho kinachotofautisha baadhi wanawake wengi wa kibongo na wa nchi zinazojitambua,masikini hata akili yake imekaa kiutegemezi tegemezi tu
 
Kama mbali na mwanamke ambaye ameshawahi kuolewa kwa namna yoyote
Kaa mbali na mwanamke mwenye mtoto hata kama mtoto amekufa
Kaa mbali na mwanamke ambaye kwao ni fukara kupitiliza
Kaa mbali na mwanamke ana mipango kuliko mipango mwenyewe
Kaa mbali na mwanamke aliyeachwa na mwanaume mwenzako hata akikuambia kuwa mwanaume yule alikuwa hivi alikuwa vile
Kaa mbali na mwanamke ambaye ...
Malizia ww !!!
 
Trust me we hata ukiwa mchonga vinyago unaweza kuwa na 100% ya kumuoa binti wa kizungu tena ambaye kwao ni matajiri wa kutisha.
Ila ukija huku kwetu kama huna kazi ya kuajiriwa serikalini au ofisi kubwa ni ngumu sana kuaminika hata kwa wazee!

Watoto wa kike wamelelewa katika mazingira ambayo kama mwanaume akiwa hana hela za kufuru basi huyo hafai!
Apa ndio huwa nabak nikikuoneshea nilipolelewa huwez amin very poor hous3 choo chq kushare
 
Wanawake wanaojiona warembo,sehemu zao za siri ndo zinazoumia. Umeolewa kisa pesa, kesho umefumaniwa na kuachwa, midume inechezea sarakasi kifuani mwako,mwishoe unamtafuta hata jambazi humuoni, unaishia kujitia vidole. Waache na gundu zao dada.
 
Af, ni raha iliyoje,kuyaona majitu kama nyie, mimba umetiwa na mtu asiye hata na 100, af kutoka imegoma. Lohhhh! Mmezoea vibaya, kuhongwa tena ndo hakupo,mmejipeleka msikohitajika, mnaachiwa buku ya mchicha, kichwa karibu kipasuke,mnaanza mada za ajabu ajabu. Unadai maisha mazuri. Mchango wako wewe ni upi?
 
Kwanza, kabla ya kumlaumu huyo mwanaume jaribu kujiuliza unamchango gani katika maisha yake wewe?

Pili, je ulishawahi kumpushi katika harakati zake za kupambana na umasikini kama ambavyo anakulisha na kukuvalisha na kuhakikisha unapata sehemu ya kulala?

Tatu, mbali na kumiliki mbunye una nini hasa cha maana cha kumsaidia huyo mwanaume ili ajikwamue? Una kiwanja? Una nyumba? Una gari? Pikipiki je? Je unamiliki hata biashara yoyote inayokuingizia kipato? Au kazi yako ni kumtegea hilo tundu tu?

Tatu, Kwanini wanawake wa mjini mna tabia za ajabu hivyo? unakuta mwanamke ana mbunye na jicho tu lakini anamdharau mwanaume anayemlisha na kumvalisha. Kwa nini lakini?
 
Ukimkuta mwanaume ana gari, nyumba na ana pesa alaf anakwambia yupo singo kaa mbal nae
 
Back
Top Bottom