Mwanaume asiye na kazi

Mwanaume asiye na kazi

Wanawake njaa Sana eti unamuita mtu mzigo ndo maana mnadharauliwa Sana na mnajiuza Hadi kwa buku huku mtaani

Biafsi nawachukia wanawake haya majitu hayanaga utu kabisa
Wanakera sana hawa viumbe, ni kuwagonga, kuwa-dump wazalie nyumbani, pumbav kabisa
 
Habari za mchana wana jamvi, mimi naomba kumuombea ushauri rafiki yangu.

Rafiki ana boyfriend ambaye wamekuwa pamoja kwa muda sasa, huyo boyfriend alikua anafanya biashara zake ila ni wale wanaume wachoyo hata apate nini hakuwahi kumpa girlfriend wake, sasa mwaka jana mwishoni huyo kaka biashara zikamuendea vibaya, yani amefulia vibaya, ikabidi ahamie kwa bidada, anakula anakunywa analala anaangalia. Nyumba ila hachangiii hata senti tano katika jambo lolote kwa sababu yupo busy anaskilizia mishe zake.

Mind you, huyo mkaka ana migugo na ardhi ambazo anamiliki, sasa girlfriend akamshauri auze japo mbuzi wake apate mtaji afanye chochote cha kumuongizia hela, yule kaka anakataa anasema mishe zake zitakaa sawa mwezi wa nne.

Sasa dhumuni la hii thread ni kwamba katika kipindi chote huyo kaka hakuwahi kumuomba hela bi dada, ana car wash yake inayomuingizia visenti hapa mjini. Hivi karibuni huyo kaka akamuomba elfu 10, huyo dada hakumpa kwa kisingizio kwamba ukimpa hela mwanaume unamjengea tabia, na zaidi ya yote anataka jamaa ajipange apambane mwenyewe, maana most of the time anashinda nyumbani na vijiweni tu. Akisubiria dili lake na april, sasa sijui kipindi hichi cha mpito ndio kumpa mzigo dada wa watu.

Sasa jamaa ameanza kulalamika kisa ananyimwa hela. Je mngempa ushauri gani huyo dada?
ebu nipe namba za huyo dada nataka nimuulize kitu kidogo 😁
 
Mimi gheto langu hawawezi kuingia siyapendi haya majitu Mimi nayachukia Sana machafu yamejaa mikosi tu yanabidi yagongewe vichochoroni usiyalete kwako yanauchawi na mikosi
hasara sana hawa viumbe, selfish kabisa
 
Habari za mchana wana jamvi, mimi naomba kumuombea ushauri rafiki yangu.

Rafiki ana boyfriend ambaye wamekuwa pamoja kwa muda sasa, huyo boyfriend alikua anafanya biashara zake ila ni wale wanaume wachoyo hata apate nini hakuwahi kumpa girlfriend wake, sasa mwaka jana mwishoni huyo kaka biashara zikamuendea vibaya, yani amefulia vibaya, ikabidi ahamie kwa bidada, anakula anakunywa analala anaangalia. Nyumba ila hachangiii hata senti tano katika jambo lolote kwa sababu yupo busy anaskilizia mishe zake.

Mind you, huyo mkaka ana migugo na ardhi ambazo anamiliki, sasa girlfriend akamshauri auze japo mbuzi wake apate mtaji afanye chochote cha kumuongizia hela, yule kaka anakataa anasema mishe zake zitakaa sawa mwezi wa nne.

Sasa dhumuni la hii thread ni kwamba katika kipindi chote huyo kaka hakuwahi kumuomba hela bi dada, ana car wash yake inayomuingizia visenti hapa mjini. Hivi karibuni huyo kaka akamuomba elfu 10, huyo dada hakumpa kwa kisingizio kwamba ukimpa hela mwanaume unamjengea tabia, na zaidi ya yote anataka jamaa ajipange apambane mwenyewe, maana most of the time anashinda nyumbani na vijiweni tu. Akisubiria dili lake na april, sasa sijui kipindi hichi cha mpito ndio kumpa mzigo dada wa watu.

Sasa jamaa ameanza kulalamika kisa ananyimwa hela. Je mngempa ushauri gani huyo dada?
Huwezi kuta mwanaume wa namna hii usukumani....hii ni ngoma ya Dar au Moshi!
 
Wangelikua wanaishi kama wanandoa ningetoa ushauri, ila hawaishi kihalali so ni ngumu kuwashauri

Usiku mwema!
 
We pambana tu kumlea mshkaji maisha ni kusaidiana halafu ni suala la muda tu msela mambo yake yatakaa poa na mtaenjoy maisha na pengine msela anakupima aone kama siku akiishiwa unaweza kumvumilia(japo umetudanganya kwamba uzi unahusu dadako)
 
nimesoma vizuri karibu mara tano lakini sijaelewe chochote bado. labda tuseme huu ni utotot uliopitikiza kabisa na hauna maana yeyote. upendo na mapenzi ni zaidi ya hisia. nje hapo ni kama tamthilia au hadithi za tega nikutege.
 
Huyo dada mbinafsi ,kama kweli dili za boyfriend zikikaa sawa yeye hataomba hizo pesa?elfu kumi tu anabania aiseee angempa ili aone kama ataombwa kila siku. Ila pesa ya mwanamke huwa ngumu kutoka sijui kwann
Kiasili wanawake ni watu wa kupokea afu vilevile ni watu wabinafsi sana kutoa vitu vyao
 
Huo ni upande wa story ya rafiki yako wanawake wana tabia ya kubadilisha story hasa wakiwa wanataka kuonewa huruma ,Usikute mchizi huwa anampa ila sasa kuna siku alikua hana au akamnyima hilo huwa linastick sana wanawake huwa wanadeal na present sio Past. Future kidogo huwa inawatuliza pia (kuna deal nalisikilizia) maana ni wazuri sana kwenye imagination 😂😂😂
Nnavyohisi brother kafanya tu 0000000009000) !!!
Sasa kwenye harusi yao tutashiba kweli , kama wanakuja kutuomba Ushauri Jamii Forum kwa ajili ya Elfu kumi eti mzabzab
Lol lay
 
Huyo dada mbinafsi ,kama kweli dili za boyfriend zikikaa sawa yeye hataomba hizo pesa?elfu kumi tu anabania aiseee angempa ili aone kama ataombwa kila siku. Ila pesa ya mwanamke huwa ngumu kutoka sijui kwann
Seems kama bidada analipiza hivi coz jamaa kabla ya mishe zake kubuma hakuwa mtoaji pia.
 
Kama ushapata chimbo jipya we nenda ..usihangaike kutafuta sababu za kukufanya usi feel guilty
 
Tatizo mnakuwa kwenye mahusiano na watu wasiojielewa; lengo lao kuu katika mahusiano ni nini? na mpaka sasa amechukua hatua gani?
 
Wanawake njaa Sana eti unamuita mtu mzigo ndo maana mnadharauliwa Sana na mnajiuza Hadi kwa buku huku mtaani

Biafsi nawachukia wanawake haya majitu hayanaga utu kabisa
Mnduku kweli wewe na mama ako unamchukia?
 
Kuna wanaume wana raha Duniani hapa...wanakula na kulala kwa jasho la mwanamke...siwezi hata kuwaza.
 
Back
Top Bottom