Mwanaume asiye na kazi

Mwanaume asiye na kazi

Ila pesa ya mwanamke huwa ngumu kutoka sijui kwann
😁😁😀😀🙄😳, hujui kwanini tena??!. Ubinafsi tu, hapo deal zake zikitick ataanza kuzengea hela zake tena. Maisha huwa yana panda na kushuka, so wakati wa kushuka wanawake wengi hudraw conclusion kwamba ndio tamati hapo ndio ubinafsi, matusi, dharau hushamiri sijui huwa mnapanic nini hasa.
 
Katika uhusiano wao huyo kaka hata akifanikiwa hajawai kumpa hata sh 10., wala zawadi yoyote.
1. Amtimue huyo jamaa hapo kwake. Amrushie hizo jinzi na shangazi kaja lake hapo nje kesho asubuhi na mapema.

2. Bidada kama Hana Sura Ngumu, atapata bwana wa maana, kama vipi tuwasiliane 0677 730 628 na mm nivimbe hapo Kwa bidada.
 
Ila pesa ya mwanamke huwa ngumu kutoka sijui kwann
Hua mnatoa Ila kwa mwanaume mnaempenda tu, sio vinginevyo ukiona mwanamke anamminyia mwanaume ni sawa na kumnyima chakula huyo hafai ipo siku utakufa mahututi anakuona na pesa anayo au utalazwa hospital na asije kukuangalia baada ya kuugua ghafla au kupatwa na ajali mbaya
 
Habari za mchana wana jamvi, mimi naomba kumuombea ushauri rafiki yangu.

Rafiki ana boyfriend ambaye wamekuwa pamoja kwa muda sasa, huyo boyfriend alikua anafanya biashara zake ila ni wale wanaume wachoyo hata apate nini hakuwahi kumpa girlfriend wake, sasa mwaka jana mwishoni huyo kaka biashara zikamuendea vibaya, yani amefulia vibaya, ikabidi ahamie kwa bidada, anakula anakunywa analala anaangalia. Nyumba ila hachangiii hata senti tano katika jambo lolote kwa sababu yupo busy anaskilizia mishe zake.

Mind you, huyo mkaka ana migugo na ardhi ambazo anamiliki, sasa girlfriend akamshauri auze japo mbuzi wake apate mtaji afanye chochote cha kumuongizia hela, yule kaka anakataa anasema mishe zake zitakaa sawa mwezi wa nne.

Sasa dhumuni la hii thread ni kwamba katika kipindi chote huyo kaka hakuwahi kumuomba hela bi dada, ana car wash yake inayomuingizia visenti hapa mjini. Hivi karibuni huyo kaka akamuomba elfu 10, huyo dada hakumpa kwa kisingizio kwamba ukimpa hela mwanaume unamjengea tabia, na zaidi ya yote anataka jamaa ajipange apambane mwenyewe, maana most of the time anashinda nyumbani na vijiweni tu. Akisubiria dili lake na april, sasa sijui kipindi hichi cha mpito ndio kumpa mzigo dada wa watu.

Sasa jamaa ameanza kulalamika kisa ananyimwa hela. Je mngempa ushauri gani huyo dada?
We mtimue . na mbunye usimpe
 
Huyo dada mbinafsi ,kama kweli dili za boyfriend zikikaa sawa yeye hataomba hizo pesa?elfu kumi tu anabania aiseee angempa ili aone kama ataombwa kila siku. Ila pesa ya mwanamke huwa ngumu kutoka sijui kwann
Pesa ya mwanamke ngumu kutoka✅✅
kawaulize simba wanaijua hiyo.
 
Mimi gheto langu hawawezi kuingia siyapendi haya majitu Mimi nayachukia Sana machafu yamejaa mikosi tu yanabidi yagongewe vichochoroni usiyalete kwako yanauchawi na mikosi
Mkuu usiwachukie kiasi hiki, pamoja na changamoto zao wanayo mema pia.
 
Habari za mchana wana jamvi, mimi naomba kumuombea ushauri rafiki yangu.

Rafiki ana boyfriend ambaye wamekuwa pamoja kwa muda sasa, huyo boyfriend alikua anafanya biashara zake ila ni wale wanaume wachoyo hata apate nini hakuwahi kumpa girlfriend wake, sasa mwaka jana mwishoni huyo kaka biashara zikamuendea vibaya, yani amefulia vibaya, ikabidi ahamie kwa bidada, anakula anakunywa analala anaangalia. Nyumba ila hachangiii hata senti tano katika jambo lolote kwa sababu yupo busy anaskilizia mishe zake.

Mind you, huyo mkaka ana migugo na ardhi ambazo anamiliki, sasa girlfriend akamshauri auze japo mbuzi wake apate mtaji afanye chochote cha kumuongizia hela, yule kaka anakataa anasema mishe zake zitakaa sawa mwezi wa nne.

Sasa dhumuni la hii thread ni kwamba katika kipindi chote huyo kaka hakuwahi kumuomba hela bi dada, ana car wash yake inayomuingizia visenti hapa mjini. Hivi karibuni huyo kaka akamuomba elfu 10, huyo dada hakumpa kwa kisingizio kwamba ukimpa hela mwanaume unamjengea tabia, na zaidi ya yote anataka jamaa ajipange apambane mwenyewe, maana most of the time anashinda nyumbani na vijiweni tu. Akisubiria dili lake na april, sasa sijui kipindi hichi cha mpito ndio kumpa mzigo dada wa watu.

Sasa jamaa ameanza kulalamika kisa ananyimwa hela. Je mngempa ushauri gani huyo dada?

Hakuna kipindi cha mpito hapo, sio amnyime hela, aachane naye.
 
Yan wanawake wana roho mbaya asikwambie mtu me mwenyew nawadharau sana nawaona mavi tu ukimtoa mama angu na ndugu zangu baadh wengne ndugu nao wangese tu
Wanawake njaa Sana eti unamuita mtu mzigo ndo maana mnadharauliwa Sana na mnajiuza Hadi kwa buku huku mtaani

Biafsi nawachukia wanawake haya majitu hayanaga utu kabisa
 
Habari za mchana wana jamvi, mimi naomba kumuombea ushauri rafiki yangu.

Rafiki ana boyfriend ambaye wamekuwa pamoja kwa muda sasa, huyo boyfriend alikua anafanya biashara zake ila ni wale wanaume wachoyo hata apate nini hakuwahi kumpa girlfriend wake, sasa mwaka jana mwishoni huyo kaka biashara zikamuendea vibaya, yani amefulia vibaya, ikabidi ahamie kwa bidada, anakula anakunywa analala anaangalia. Nyumba ila hachangiii hata senti tano katika jambo lolote kwa sababu yupo busy anaskilizia mishe zake.

Mind you, huyo mkaka ana migugo na ardhi ambazo anamiliki, sasa girlfriend akamshauri auze japo mbuzi wake apate mtaji afanye chochote cha kumuongizia hela, yule kaka anakataa anasema mishe zake zitakaa sawa mwezi wa nne.

Sasa dhumuni la hii thread ni kwamba katika kipindi chote huyo kaka hakuwahi kumuomba hela bi dada, ana car wash yake inayomuingizia visenti hapa mjini. Hivi karibuni huyo kaka akamuomba elfu 10, huyo dada hakumpa kwa kisingizio kwamba ukimpa hela mwanaume unamjengea tabia, na zaidi ya yote anataka jamaa ajipange apambane mwenyewe, maana most of the time anashinda nyumbani na vijiweni tu. Akisubiria dili lake na april, sasa sijui kipindi hichi cha mpito ndio kumpa mzigo dada wa watu.

Sasa jamaa ameanza kulalamika kisa ananyimwa hela. Je mngempa ushauri gani huyo dada?
Huyo mwannaume ni boya siku si nyingi ataliwa tigo mjini hapa
 
Back
Top Bottom