Mwanaume asiye na kazi

Mar 25, 2021
94
226
Habari za mchana wana jamvi, mimi naomba kumuombea ushauri rafiki yangu.

Rafiki ana boyfriend ambaye wamekuwa pamoja kwa muda sasa, huyo boyfriend alikua anafanya biashara zake ila ni wale wanaume wachoyo hata apate nini hakuwahi kumpa girlfriend wake, sasa mwaka jana mwishoni huyo kaka biashara zikamuendea vibaya, yani amefulia vibaya, ikabidi ahamie kwa bidada, anakula anakunywa analala anaangalia. Nyumba ila hachangiii hata senti tano katika jambo lolote kwa sababu yupo busy anaskilizia mishe zake.

Mind you, huyo mkaka ana migugo na ardhi ambazo anamiliki, sasa girlfriend akamshauri auze japo mbuzi wake apate mtaji afanye chochote cha kumuongizia hela, yule kaka anakataa anasema mishe zake zitakaa sawa mwezi wa nne.

Sasa dhumuni la hii thread ni kwamba katika kipindi chote huyo kaka hakuwahi kumuomba hela bi dada, ana car wash yake inayomuingizia visenti hapa mjini. Hivi karibuni huyo kaka akamuomba elfu 10, huyo dada hakumpa kwa kisingizio kwamba ukimpa hela mwanaume unamjengea tabia, na zaidi ya yote anataka jamaa ajipange apambane mwenyewe, maana most of the time anashinda nyumbani na vijiweni tu. Akisubiria dili lake na april, sasa sijui kipindi hichi cha mpito ndio kumpa mzigo dada wa watu.

Sasa jamaa ameanza kulalamika kisa ananyimwa hela. Je mngempa ushauri gani huyo dada?
 
Tabia ya mwanamke inaanza kujulikana ukimuoa hapo kidogo ukifilisika ndio utamjua sura yake halisi
 
Ni lini wanawake mtaacha ubinafsi na roho mbaya? Yaani mwanamke hata ule chakula kama anachokula yeye kilichopikwa kwenye sufuria moja bado atakuja kudokoa chako ili aonje akiamin wewe unakula chakula kizuri zaidi yake.

Miaka yote utamsaidia ila ukiyumba miezi miwili anakubadilisha jina na kukuita mzigo kwake, hata Kama anayo elfu 10 na ukamuomba buku ya nauli atakunyima anaona ni bora hiyo buku yake aifiche
 
Habari za mchana wana jamvi, mimi naomba kumuombea ushauri rafiki yangu.

Rafiki ana boyfriend ambaye wamekuwa pamoja kwa muda sasa, huyo boyfriend alikua anafanya biashara zake ila ni wale wanaume wachoyo hata apate nini hakuwahi kumpa girlfriend wake, sasa mwaka jana mwishoni huyo kaka biashara zikamuendea vibaya, yani amefulia vibaya, ikabidi ahamie kwa bidada, anakula anakunywa analala anaangalia. Nyumba ila hachangiii hata senti tano katika jambo lolote kwa sababu yupo busy anaskilizia mishe zake.

Mind you, huyo mkaka ana migugo na ardhi ambazo anamiliki, sasa girlfriend akamshauri auze japo mbuzi wake apate mtaji afanye chochote cha kumuongizia hela, yule kaka anakataa anasema mishe zake zitakaa sawa mwezi wa nne.

Sasa dhumuni la hii thread ni kwamba katika kipindi chote huyo kaka hakuwahi kumuomba hela bi dada, ana car wash yake inayomuingizia visenti hapa mjini. Hivi karibuni huyo kaka akamuomba elfu 10, huyo dada hakumpa kwa kisingizio kwamba ukimpa hela mwanaume unamjengea tabia, na zaidi ya yote anataka jamaa ajipange apambane mwenyewe, maana most of the time anashinda nyumbani na vijiweni tu. Akisubiria dili lake na april, sasa sijui kipindi hichi cha mpito ndio kumpa mzigo dada wa watu.

Sasa jamaa ameanza kulalamika kisa ananyimwa hela. Je mngempa ushauri gani huyo dada?
katika maisha yangu naogopa sana kula hela ya mwanamke na hasa ambaye tuna uhusiano naye ukila hela ya mwanamke utaitapika tu! (kula hela ya mpenzi wako wa kike kizembezembe ni kutafafuta ujauzito hatarishi. lazima uzae
 
Habari za mchana wana jamvi, mimi naomba kumuombea ushauri rafiki yangu.

Rafiki ana boyfriend ambaye wamekuwa pamoja kwa muda sasa, huyo boyfriend alikua anafanya biashara zake ila ni wale wanaume wachoyo hata apate nini hakuwahi kumpa girlfriend wake, sasa mwaka jana mwishoni huyo kaka biashara zikamuendea vibaya, yani amefulia vibaya, ikabidi ahamie kwa bidada, anakula anakunywa analala anaangalia. Nyumba ila hachangiii hata senti tano katika jambo lolote kwa sababu yupo busy anaskilizia mishe zake.

Mind you, huyo mkaka ana migugo na ardhi ambazo anamiliki, sasa girlfriend akamshauri auze japo mbuzi wake apate mtaji afanye chochote cha kumuongizia hela, yule kaka anakataa anasema mishe zake zitakaa sawa mwezi wa nne.

Sasa dhumuni la hii thread ni kwamba katika kipindi chote huyo kaka hakuwahi kumuomba hela bi dada, ana car wash yake inayomuingizia visenti hapa mjini. Hivi karibuni huyo kaka akamuomba elfu 10, huyo dada hakumpa kwa kisingizio kwamba ukimpa hela mwanaume unamjengea tabia, na zaidi ya yote anataka jamaa ajipange apambane mwenyewe, maana most of the time anashinda nyumbani na vijiweni tu. Akisubiria dili lake na april, sasa sijui kipindi hichi cha mpito ndio kumpa mzigo dada wa watu.

Sasa jamaa ameanza kulalamika kisa ananyimwa hela. Je mngempa ushauri gani huyo dada?
Hapo anapimwa mtu tabia, Mapedeshee wana shida
 
Huo ni upande wa story ya rafiki yako wanawake wana tabia ya kubadilisha story hasa wakiwa wanataka kuonewa huruma ,Usikute mchizi huwa anampa ila sasa kuna siku alikua hana au akamnyima hilo huwa linastick sana wanawake huwa wanadeal na present sio Past. Future kidogo huwa inawatuliza pia (kuna deal nalisikilizia) maana ni wazuri sana kwenye imagination 😂😂😂
Nnavyohisi brother kafanya tu Makusudi !!!
Sasa kwenye harusi yao tutashiba kweli , kama wanakuja kutuomba Ushauri Jamii Forum kwa ajili ya Elfu kumi eti mzabzab
 
Mnaishi kinadharia sana.
Eti mwanaume ukimpa hela .....
Wanaume wote hawafanani na wanawake wote hawafanani tuchunge tusije wakosea wenza wetu kwa kuwajumuisha na makosa au matatizo ya watu wengine wa jinsia yao au kabila yao.
 
Wanawake njaa Sana eti unamuita mtu mzigo ndo maana mnadharauliwa Sana na mnajiuza Hadi kwa buku huku mtaani

Biafsi nawachukia wanawake haya majitu hayanaga utu kabisa
 
Back
Top Bottom