Mwanaume asiye na kazi

Mwanaume asiye na kazi

Kuna wakati madili huwa yanakubali kweli. April itafika, kuna dada alitesekaga sana na mumewe akijaribu kumrudisha baada ya april ya mumewe kufika na ikafanikiwa kupitiliza. Alikuwa na gubu wakati mume hana.
Tukiwaambiaga watuvumilie kuna dili tunaisililizia huwa hawatuelewi kabisa mpaka yawakute [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Habari za mchana wana jamvi, mimi naomba kumuombea ushauri rafiki yangu.

Rafiki ana boyfriend ambaye wamekuwa pamoja kwa muda sasa, huyo boyfriend alikua anafanya biashara zake ila ni wale wanaume wachoyo hata apate nini hakuwahi kumpa girlfriend wake, sasa mwaka jana mwishoni huyo kaka biashara zikamuendea vibaya, yani amefulia vibaya, ikabidi ahamie kwa bidada, anakula anakunywa analala anaangalia. Nyumba ila hachangiii hata senti tano katika jambo lolote kwa sababu yupo busy anaskilizia mishe zake.

Mind you, huyo mkaka ana migugo na ardhi ambazo anamiliki, sasa girlfriend akamshauri auze japo mbuzi wake apate mtaji afanye chochote cha kumuongizia hela, yule kaka anakataa anasema mishe zake zitakaa sawa mwezi wa nne.

Sasa dhumuni la hii thread ni kwamba katika kipindi chote huyo kaka hakuwahi kumuomba hela bi dada, ana car wash yake inayomuingizia visenti hapa mjini. Hivi karibuni huyo kaka akamuomba elfu 10, huyo dada hakumpa kwa kisingizio kwamba ukimpa hela mwanaume unamjengea tabia, na zaidi ya yote anataka jamaa ajipange apambane mwenyewe, maana most of the time anashinda nyumbani na vijiweni tu. Akisubiria dili lake na april, sasa sijui kipindi hichi cha mpito ndio kumpa mzigo dada wa watu.

Sasa jamaa ameanza kulalamika kisa ananyimwa hela. Je mngempa ushauri gani huyo dada?

Sio kumnyima 10,000, amfukuze na aachane naye, mwanaume hawezi kuwa na asset ajizalilishe kukaa na kulishwa na mwanamke, labda ni mwongo
 
Back
Top Bottom