Mwanaume anapotongozwa na mwanamke

Mwanaume anapotongozwa na mwanamke

kama kuna mwanaume anajifanyaga sharobaro mtaani mdada jikaze umtokee yaan atageuka domo zege na mwoga.Nilishajaribu hii pindi napokuwa nataka kukwepa usumbufu wa hawa jamaa kona flani flani.
NB:hakikisha unamchania kihiphop yaan mwenyewe atazima hata kama kuna jua.

Najaribu kufanya mazoezi ya kuchana kihip hop.
 
mimi mwanamke akinitongoza najiona special hivi...
ukweli sio kila mwanaume anatongozwa na mwanamke..

wanaume wanaotongozwa wanakuwa na sifa mojawapo ya hizi
1.very rich
2very handsome
3very caring
4.very .......
 
naruhusu yeyote (mwanamke) anayejisikia kunitongoza
anitongoze

but siku garantii mafanikio..
but nitakuheshimu zaidi...
kwani mpaka mwanamke atongoze ni lazima awe
anajiamini vya kutosha...
confidence iko juu
which is sexy.....
 
naruhusu yeyote (mwanamke) anayejisikia kunitongoza
anitongoze

but siku garantii mafanikio..
but nitakuheshimu zaidi...
kwani mpaka mwanamke atongoze ni lazima awe
anajiamini vya kutosha...
confidence iko juu
which is sexy.....

Mhhh acha ujanja the boss
 
mimi mwanamke akinitongoza najiona special hivi...
ukweli sio kila mwanaume anatongozwa na mwanamke..

wanaume wanaotongozwa wanakuwa na sifa mojawapo ya hizi
1.very rich
2very handsome
3very caring
4.very .......

Kama huna vyote hivo vinne hata kimoja aisee kazi sana labda sasa vingine vijitokeze
 
nauliza hivi wanaume jf hamjawahi kutongozwa? mhh mtaniaibisha
 
kamwe kama ni mwanamke unayejiheshimu hutatongoza mwanaume kama umeshindwa kujizuia tumia vitendo na sio maneno embu jiulize ni watu wangapi kwenye ndoa umekutana nao wakakwambia mwanamke ndo alianzisha uhusiano?husijaribu atakukubali na badae atakutosa
 
Hii kitu huwa siifagilii kweli aisee, huwa inanipotezea kujiamini mbele ya huyo binti, matokeo yake naanza kumkwepa. Tena wanaonikera zaidi ni wale wanaoshirikisha rafiki zangu, manake huwa wananiandama sana.. Kati ya mabinti wote wanaonitongoza hakuna aliyebahatika kunipata, manake huwa wananifanya niwe na aibu na kuwakwepa kuepuka ku-blush mbele yao... Napendelea kutongoza kuliko kutongozwa.
 
Mimi nmeshawah tongozwa mara 2, kwa kuwa wote waliontongoza ckuwapenda kiviile, nliwaonea huruma kwa wanavohangaika juu yangu na ilnbd niongeze nao ukaribu wa kupiga nao ctori n within ctori nkafanikiwa wabadilisha saikolojia yao juu yangu na mwishowe mi n kama rafiki 2 nw.
 
Kwa kweli inategemea as siku hizi imekuwa kawaida as wanaume tupo wachache na mwanamke mjanja anayeona mwanaume na akishamsoma au akiona mwaname ana hamu nae ila aongei basi wanawahi kutongoza etc wengine hata ndoa wanafunga
 
kamwe kama ni mwanamke unayejiheshimu hutatongoza mwanaume kama umeshindwa kujizuia tumia vitendo na sio maneno embu jiulize ni watu wangapi kwenye ndoa umekutana nao wakakwambia mwanamke ndo alianzisha uhusiano?husijaribu atakukubali na badae atakutosa

Mie naona point yako imekaa kushoto na wengine humu
Mwanamke anapomkaribisha mwanaume kwake kwa chakula au kunywa chai au kumuomba mwanaume watoke waende kunywa au kucheza mziki au hata kuangalia games bar kama kampani na wengine unadhani ni nini?

Wanawake wengi siku hizi ndio zao ooh mtu anaumwa wana ofa mengi etc na hapo mambo yanaanza sio lazima kumwambie uwazi as wengine wanasema kabisa kama

Wow ningekuwa wako ningekutunza vizuri, au wow vipi kwani unaona mie siwezi kuwa wako etc

Kwa kweli ni mengi hadi hata mwanaume akienda kulala anafikiria na kuanza kumuwaza dada huyo na mnajua jinsi wanawake wa siku hizi wanavyojua kushikilia mwanaume etc hata kumtoa mwanaume kwa girlfriend hata mchumba

Msilale na kujidanganya wanawake eti mnasubiri hapo wangapi watakuwa wanawahi kutongoza na ukamkosa umpendaye?
 
nisaidieni jamani...napata majibu yanayonichanganya... kina kaka na hata kina dada hebu niambieni..mwanaume anapotongozwa na mwanamke anajisikiaje??? ni nini mawazo yake??? Je, unamchukuliaje mwanamke liyekutongoza

Dah unajickia vzr lkn pia kwa mm huwa namhurumia msichana anaenipenda coz I knw nna mtu wngu cwez mkubalia. Juzi kuna mmoja kanitongoza kisa kasikia sauti yangu mwenyewe anadai nzuri(alipiga cm ofisini kwetu). Nilimwambia cwez kuwa nae ntamdanganya akanambia yuko radhi nimdanganye ila tu nimkubalie.
 
Me sijui kwangu ikoje mpaka nafika umri huu sijawai kumtongoza mwanamke mala zote wanawake wananitongoza mimi tuu.........na nimesha kuwa na mahusiano zaidi ya saba wote wana anza wao tuu me namalizia..........yani hadi huyu niliye naye sasahivi tuna miaka mitatu na upendo ni ule ule kama wa wapenzi wengine.......ila kuna limama linataka kuniharibia mipango yangu na mpenzi wangu haliishi kunitongoza kwa simu kila siku some time anasababisha my girl asiwe na furaha kabisa...............
 
Searching...100%
Loading...0%
Network failed !

Yap ! Hadithi njoo...
 
nisaidieni jamani...napata majibu yanayonichanganya... kina kaka na hata kina dada hebu niambieni..mwanaume anapotongozwa na mwanamke anajisikiaje??? ni nini mawazo yake??? Je, unamchukuliaje mwanamke liyekutongoza

atakuwa ni gold digger fulani hivi!!!!
 
nachukulia kawaida tu! wala sioni tatizo. mwanaume anaweza kuwa wa kwanza kumpenda mwanamke na hvyo hvyo kwa mwnmke anaweza kuwa wa kwnza kumpnda mwnaume. kila mtu anahaki ya kumueleza mwenzie anavyojiskia mi sioni tatizo. mbna mi sijawah kumtongza mwanamke lakini wao wamewah tena mara nyngi tu
 
Back
Top Bottom