interegenciadick
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 698
- 1,111
Love is blind,
Either jamaa ni wale wana sura za mama then wew sura ya uncle hivo unazimika sana? (Sorry)
Pili haujikubali ulivyo unaona mapenzi ndo hayo nyie ndo wale hakuna mwanaume zaidi ya fulani huku ukiugulia maumivu na keshajua wew kwake ni millembe huna ubishi.
Tatu hizi stor nilishapitia ujanani wa balehe nilishapata wadada kama wawili au watatu dzaini yako, mnapendaga watu ambao bado hawajawa na future hivo unaforce penzi..... Hata mkioana kwa juhudi zako basi sikuombei mabaya hamtafika unapotaka kufika badae utakuja hapa utatuita na sisi {wanaume wote ni mbwa tu} uku jibwa unalifuga wewe lije kukusumbua huone miumbwa yote bandani mikorofi unatubania riziki bure badae.
Ushauri wangu kaa pembeni, jipende, jikubali, jiheshimu, jijali the right person is here!! Mwenzio aliniforce hivo nikamwambia kuwa mtulivu nijipange kipindi iko sijawa na maisha akaona nachelewa kaenda kukaa kwa mwingine kapigwa mimba kaachwa sahv binti mdgo tu single mother kabaki tu anabekwa na mdomo mchafu kichizi kwa sababu ya stress [emoji851] . daily ananiomba nimsamehe arudi kunipa mapenzi anajuta ..... Mimi sina habari ndo kwanza nafikiria niwe namkata tu kutimiza haja zangu maana nilimpenda ila si ndoa tena.
Mwisho si lazima utusikilize fata moyo wako, ila angalia moyo una tamaa na visivyo vyake utapotea bado mdogo . Kwaheri binti bila shaka umri bado miaka 20-24 mnasumbuaga sana na kuforce kupendwa. [emoji41]