Mwanaume ananipasua kichwa

Mwanaume ananipasua kichwa

Huyo mtoto wa Mama inaonekana kazowea kulelewa,ndio maana hata baada ya kuachana na wewe kwa muda wa miezi 6 akakurudia tena nawe ukaingia kichwa kichwa! bila shaka ndani ya hiyo miezi 6 hakupata mwanamke wa type yako wakumlea yeye,
Ila sikulaumu sana coz wahenga walisema; Mapenzi ni upofu.
 
Yaani sijaelewa hata robo, kwao inasimama kabisaa inaingia kwako.
Huyo m’mme mzima wa akili kweli?
Nahisi ni mgonjwa
 
Mapenzi ni upuuzi na upofu unataka kurudia makosa yale .kaa kwenu ambapo upo comfortable , usijisumbue kisa mwanaume .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom