dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,832
- 20,350
Mnakaa miaka saba? .duuh huo u boyfriend au ndoa hiyo@Millembe,
🤣🤣🤣 Wapo wengi tu,kuna baadhi ya wanawake wanajibebesha mizigo ya bure.Inamaana hujui siku izi wanawake ndo wamekuwa wakijilipia adi mahari na kujinunulia pete za uchumba, ye haoni ajabu akipanga chumba abebe mzoga wake aweke ndani
Mwambie tuWewe kwanza pambana kwanza akuoe huyo anayekuchakaza.
Shikamoo shemeji [emoji4]Hivi hapa wazazi ndiyo wanakosea au vijana....wewe hauna wazazi! Au kaka waliokuzidi umri! Hawaoni uyafanyao kama yanakuletea matatizo?
Ishi kwenu kama mchumba atakuja kukufuata kwenu.
Sasa kwan mkidate since shule haiwi serious???? Mbona watu wanadate since shule huko na still wanakuja oana baadae.Tunaongelea serious relationship
Sijaongelea kwamba haiwezekani ila naongelea Mara nyingi inavotokea.Sasa kwan mkidate since shule haiwi serious???? Mbona watu wanadate since shule huko na still wanakuja oana baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee weweWewe kwanza pambana kwanza akuoe huyo anayekuchakaza.
Habari JF..mm ni binti nina boyfriend wa muda km miaka 7 now.
Bahati mbaya sn nilikoseaga nikaenda kuishi nae tena nyumbani kwao kabisa mamamkwe na wawifi wote wapo. Hajanitolea barua wala mahari. Wakati naishi nae familia yake ikawa hainipendi navumilia walikua wananiona km nimemroga mtoto wao kwa jinsi yuko karibu na mm. Tukaja kugombana na huyo mwanaume ugomvi mkubwa tu nikaondoka nikarudi kwetu huku nyuma familia yake ikafurahi kweli bora tumeachana.
Tumekaa miezi 6 mwanaume akanitafuta tukarudiana sasa changamoto ni kua anataka siku ambazo niko off kazini niwe naenda kushinda kwao. Jman nimekataa mwanaume haelewi nimemwambia siwezi kwenda kwao tena apange chumba tuwe free. Na kwao nitaenda atakapokua amenioa au kunitolea mahari..haelewi anasema km siendi kwao basi tuachane...
Je ni sahihi kweli baada ya yote hayo kutokea mm kutoelewana na familia yake niwe naenda kwao jamani? Nilikua nafikiria km yeye hataki kupanga chumba basi mm nipange kwa pesa yangu ili tuwe free je na hilo ni sawa.
Naombeni ushauri jamani mwenzenu nimekwama
Wacha hicho kichwa kipasuke tena kibondwe bondwe kabisa kivurugike na ungekuwa karibu ningekipiga na tofali kabisa kisagike Shwain wewe.