Mwanaume Anaeweza Kuimba vizuri.

Mwanaume Anaeweza Kuimba vizuri.

haya Bujibuji, Mtambuzi kazi kwenu nafasi hiyo iko wazi
Habari;

Hodi humu ndani...nahitaji rafiki wa kiume anaeweza kuimba,nyimbo za mapenzi mwenye sauti nzuri na tamu,sitaki mwana hiphop coz nawakubali weusi tu!!

kama unajiamini unaweza kuimba RnB,unajua kubembeleza,umri kuanzia 23~29,uwe na mvuto hata kama kwa mbali.karibu PM tuelewane.

NB; rafiki tu wa kiume.
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhhh!!!!! Mie najua kuimba nyimbo za kingoni tu.



Wangoni noma,anagombana na mkewe asubuhi ikifika jioni anambembeleza mkewe kwa nyimbo za mahaba ili ikifika usiku wabadilishane jotoridi la mwili.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
aya dada utampata ,ila mim ni muimbaji mwenye saut nzuri kama barnaba,but ni special kwa ajili ya selina my every thing syo wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom