Mwalupale
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 1,047
- 676
jaman mbona kama hatuelewani!!.unajuaje kama nashida yangu nyingine ila nataka anaejua kuimba vizuri!
asanten mliokuja Pm ntafanya mchakato wa kuwasikiliza vizuri,na wengne karibu
Umesema mwenye sauti tamu. Sasa tamu kivp? Fafanua mkuu