Mwanaume amtoa mkewe kama malipo ya deni

Mwanaume amtoa mkewe kama malipo ya deni

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,335
Mwanaume katika kijiji cha Lwanda,kata ndogo ya Moi's Bridge. Katika jimbo dogo la Likuyami ameshangaza wakazi baada ya kukataa kulipa deni la ksh 900 na badala yake akamtoa mke wake kama malipo ya deni.

Sorce NTV Kenya
Update toka NTV Kenya.

Jamaa amempokea uyo mwanamke na amekuwa mke wa pili. Hivo deni limelipiwa kwa kutoa mke kwenda kwa mdai
 
mwanaume wengine majanga kwanini asingejitoa yeye mwenyewe
 
Sipati picha mdai alivofurahi...
kanunua mbuzi kapewa nyongeza ya ng'ombe
 
mdai atajinoma vibaya mno. au mke mwenyewe kama kinyago nini?!
 
hahaha hawezi akawa serious labda alikua kalewa au kaishiwa kupita kiasi dah....
 
Kama kamtolea mahari ndogo kuliko hiyo na yuko business minded anaweza kuona ka "save".

Ukishangaa hii habari inabidi ushangae habari nzima ya wanawake kutolewa mahari pia.

It's the same thing.

The commoditization of women.
 
Back
Top Bottom