Kula tano chali π
Muonekano upi huo?Wanawake inatakiwa watupendee muonekano
Tunamwachia madude yake mwenyewe πππWape wape hao, wakimeza, wakitema shauri yao
Dagaa au unazungumzia nini maana umetajwa unga?Hela shingapi? Si nasikia zipo hadi za buku? Hadi jero?
Atueleweshe vizuriDagaa au unazungumzia nini maana umetajwa unga?
Binafsi nampenda Mwanamke kama Mwanamke, anizalie tulee familia. Ninacho pendea kwake ni utu,heshima na upendo. Hakuna kingine kama ni tendo la ndoa hiyo ni kawaida siyo lazima kila saa kila sikuSawa jibu swali basi, wewe binafsi huwa unampendea nini mwanamke, au wanaume huwa mnawapendea nini wanawake
Naam maana vitu vingine ni bei chee sana.Atueleweshe vizuri
Hitimisho hapo muoe na mtimize majukumu yenu km wanaume na baba wa familia
Alafu Hawa ambao wanatusema tunakwepa majukum ni yapi hayo na ni kuanzia shngapiNaam maana vitu vingine ni bei chee sana.
Bili hazilipwi kwa busu - bili hulipwa kwa pesa tasilimu.
Watafunguka ngoja waje.Alafu Hawa ambao wanatusema tunakwepa majukum ni yapi hayo na ni kuanzia shngapi
Maana wengine unakuta wananunua michicha ya mia 300 na nyanya masaro + vitunguu vilivyovunda alafu wakija jf wanatupigia keleleWatafunguka ngoja waje.
Sasa wewe ndio umeongea point mamyyππππ.Hitimisho hapo muoe na mtimize majukumu yenu km wanaume na baba wa familia
π hawana namna ndio maisha ni muhimu wajikune wanapofikia.Maana wengine unakuta wananunua michicha ya mia 300 na nyanya masaro + vitunguu vilivyovunda alafu wakija jf wanatupigia kelele
Sasa wasipigage keleleπ hawana namna ndio maisha ni muhimu wajikune wanapofikia.
AmenZitafute sasa upate majawabu kwa mambo yote.
Wakaa nyumbani huwa hawajiamini, uwezo wao wa kufikiri huwa mdogo sana, hutegemea kila kitu kutoka kwa wazazi wao, huwa hawaambatani na wake zao.3)Amani iwepo pale muishipo(hususan kwa sisi wakaa nyumbani).