Mwanaume ambaye hajanioa anataka nimfulie nguo

Mwanaume ambaye hajanioa anataka nimfulie nguo

Habari,

Kwasasa nipo single..(Mtasema tangazo.. whatever)
Ila Kuna mtu anataka tuwe na mahusiano.. Ila huyu mtu anasema yeye lengo moja wapo lakuwa kwenye mahusiano Ni Kwamba lazima umfulie nguo na kumfanyia usafi kila week.

Mimi naona Haya majukumu nayabeba Kama Nani?...

Je Ni sahihi kumfulia nguo mtu ambae hujui hata future yenu huko mbele ikoje..

Nawasilisha.
Husimfulie ila ,atapata mwengine wakumfulia na kumfanyia usafi.

Huku ww ukimtafuta mwenye machine ya kufulia au beki tatu.

KUPANGA NI KUCHAGUA.
 
Kwani yeye Ana offer Nini kwangu...maana mtu anademand umfulie umafanyie usafi ..yeye anakupa nini labda.

Kuna wanaume akikwambia umfulie yaani hata ubishi... Sasa huyu nae kajamba Nani
Anataka special treatment.. what does he have to offer?
😳😳😳 nilichogundua huyo kaka hujampenda na unamdharau.

😥😥😥😥sio Kwa kauli hii..
Huu mwandiko wako umeniumiza na kunisononesha haki tena.
 
😳😳😳 nilichogundua huyo kaka hujampenda na unamdharau.

😥😥😥😥sio Kwa kauli hii..
Huu mwandiko wako umeniumiza na kunisononesha haki tena.
Hapo anataka kuolewa tu.. Yaani amfanye mwana farasi wa kumpeleka kwenye ndoto zake za kuwa mke
 
Kumbe una stress ndiyo maana ukawa unatukana Wachagga!

Na kusema kwamba huwezi kuolewa na wezi?

Kumbe ilikuwa janja ya sungura sizitaki mbichi hizi🤣😂

Sasa olewa na huyu dume kaputura likuoneshe kazi, hapo ndiyo utajua Kuna wanaume mashine za kutolea hela na za kusugua papuchi.

But pole anyway; kila mtu ana stress ila siyo ukiwa nazo utukane na kukashifu Wachagga.

Simply, eleza shida yako na utasaidiwa kimawazo.

Ninatambua msamaha wako ulioomba ila nimeamua nikufundishe ili ujue asiyefunzwa na Mama atafunzwa na walimwengu.
 
Nani atazianika ?,kumfulia mtu wako ni u cheap labour, yeye hawezi kumfulia kwa mapenzi bila hata yeye kumwambia ? .
Wakufuliwa ni mume hao wahuni ambao hawajaoa hawastahili kufuliwa kabisa, ni kosa kubwa kwa jamii yangu kufanya majukumu ya mke while I'm single
 
Mimi jamaa aliniletea pigo hizo ooh nina tunguo twangu naomba unisaidie kufua
Nikamwambia kibabu hiki kibibi hakiwezi kufanya hizo shughuli mimi ni rafiki tuu na wala sio mke
Ko majukumu mengine siwezi fanya
Kwahy muweke wazi,
 
Ulifanya vyema sana.... Yanini kujipa shida kubwa kubwa kwa wakati ambao sio sahihi?
Kuna mtu aliwah nitolea nguo nifue eti yaan alizikuta hivyo hivyo hivyo
Wanawake muache viherehere vya kuwafulia wanaume tena hajakuoa ,hakutunzi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Kajamba nani
Kwani yeye Ana offer Nini kwangu...maana mtu anademand umfulie umafanyie usafi ..yeye anakupa nini labda.

Kuna wanaume akikwambia umfulie yaani hata ubishi... Sasa huyu nae kajamba Nani
Anataka special treatment.. what does he have to offer?
 
Back
Top Bottom