Habari,
Kwasasa nipo single..(Mtasema tangazo.. whatever)
Ila Kuna mtu anataka tuwe na mahusiano.. Ila huyu mtu anasema yeye lengo moja wapo lakuwa kwenye mahusiano Ni Kwamba lazima umfulie nguo na kumfanyia usafi kila week.
Mimi naona Haya majukumu nayabeba Kama Nani?...
Je Ni sahihi kumfulia nguo mtu ambae hujui hata future yenu huko mbele ikoje..
Nawasilisha.
Kwa kweli kumfulia mwanaume hajakuoa ni kiherehere, Mimi hata kwenda anapoishi mwanaume staki kabisa, sembuse kufuliana aaarghKuna mtu aliwah nitolea nguo nifue eti yaan alizikuta hivyo hivyo hivyo
Wanawake muache viherehere vya kuwafulia wanaume tena hajakuoa ,hakutunzi
Period.Habari,
Kwasasa nipo single..(Mtasema tangazo.. whatever)
Ila Kuna mtu anataka tuwe na mahusiano.. Ila huyu mtu anasema yeye lengo moja wapo lakuwa kwenye mahusiano Ni Kwamba lazima umfulie nguo na kumfanyia usafi kila week.
Mimi naona Haya majukumu nayabeba Kama Nani?...
Je Ni sahihi kumfulia nguo mtu ambae hujui hata future yenu huko mbele ikoje..
Nawasilisha.
Kwa upande wangu Mimi..sioni future nae..kabisa Yaaani Kwakweli.CreditAnalyst Inategemea na aina ya mahusiano mliyonayo, kama mpo serious na mna plan ya future basi hapo ni mtego umepewa, jiongeze. Ila kama ni haya mahusiano ya kimjini mjini mpo kwaajili ya kuchangamsha maumbile yenu basi hamna haja ya kufanyana madobi.,unless ufanye kwa matakwa na mapenzi yako tu.
Let's meet at the top, cheers [emoji482]
Jamani....Kama unafikiri atashindwa kupeleka nguo kwa Dobi au akapata mtu wa kumfulia na akalipwa hela hata ya matumizi.Jishaue tu upo kwenye interview ya ndoa hapo! Ungeniambia eti mbona ananipa hela wakati bado hajanioa mimi sizitaki hela zake ningekuelewa! Bumbav we kabisa.Utabaki msimbe au ukaungane na Joyce karie
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu aliwah nitolea nguo nifue eti yaan alizikuta hivyo hivyo hivyo
Wanawake muache viherehere vya kuwafulia wanaume tena hajakuoa ,hakutunzi
Usimpomfulia Ni ugomvi mkubwaa Sana...Na anasema haoni umuhimu wangu kama simfulii nguo..na hela hakupi..anasema nikupe yanini hunisikilizo na hunisaidiiCreditAnalyst Inategemea na aina ya mahusiano mliyonayo, kama mpo serious na mna plan ya future basi hapo ni mtego umepewa, jiongeze. Ila kama ni haya mahusiano ya kimjini mjini mpo kwaajili ya kuchangamsha maumbile yenu basi hamna haja ya kufanyana madobi.,unless ufanye kwa matakwa na mapenzi yako tu.
Let's meet at the top, cheers [emoji482]
Ha ha ha usiogope bwana nakutania ila ndoa dada ni mambo mengi unaweza ukaja ukamuoa mtu hata kupika hajui na kila siku anaagiza chips na mihogo kuanzia asubhi yupo anaangalia movies na season.Kufua ndio hivyo unakuta muda hana ni yeye na sinema zetu za Azam TvJamani....