Mwanaume ambaye hajanioa anataka nimfulie nguo

Mwanaume ambaye hajanioa anataka nimfulie nguo

Shida iko wapi? Mfulie na mfanyie usafi

Yuko anakuangalia je unaweza
 
Kwani yeye Ana offer Nini kwangu...maana mtu anademand umfulie umafanyie usafi ..yeye anakupa nini labda.

Kuna wanaume akikwambia umfulie yaani hata ubishi... Sasa huyu nae kajamba Nani
Anataka special treatment.. what does he have to offer?
.....................Dada'angu nataka nikupe siri moja ya sisi wanaume,huyo mwamba hata umuite kanya nani haitasaidia kwa sasa as long as ameshakuvua nguo huo ndo ushujaa wake hizo nyengine kelele tu.

Wala usijisumbue kuandika shit kuhusu jamaa,nashangaa hulalamiki kukuvua nguo wala hujali kwamba amekuchezea ulichoona wewe cha hatari ni kufua nguo tu?wewe ndiye unayemjua sasa kama ameweza kukaa na wewe uchi kuna kubwa zaidi ya hilo?
 
Habari,

Kwasasa nipo single..(Mtasema tangazo.. whatever)
Ila Kuna mtu anataka tuwe na mahusiano.. Ila huyu mtu anasema yeye lengo moja wapo lakuwa kwenye mahusiano Ni Kwamba lazima umfulie nguo na kumfanyia usafi kila week.

Mimi naona Haya majukumu nayabeba Kama Nani?...

Je Ni sahihi kumfulia nguo mtu ambae hujui hata future yenu huko mbele ikoje..

Nawasilisha.
Kwani washing machines hazipo madukani? Kwani kuna tofauti gani kumfulia kabla na baada ya ndoa? Je, kuna kitu ambacho wewe unapenda, na umemuomba na anakufanyia?
 
Hihiiihihii, yani mpaka umeambiwa kuna kufua na usafi kama lengo la kua na wewe basi ujue hakupendi.
Mwambie atafute housegirl tuu. Anataka kukutumia tuu.
 
Mtu ukimpenda utapenda kila kitu unfanyie wewe kwa mapenzi coz unampenda sana. Yaani hata asingekuomba mwenyewe tu ungejikuta.

Lakini pia haa yeye hapo hakupendi hope kashakueleza lengo la yeye kukufuata uwe kinda kijakazi wake ambalo kwa mtu akupendae kwa dhati kabisa hawezi kukutamkia maneno hayo. So endeleeni kupotezeana muda wakati kuna watu siriaz mngepata mkafanya maisha
Umemaliza kilakitu.
 
Habari,

Kwasasa nipo single..(Mtasema tangazo.. whatever)
Ila Kuna mtu anataka tuwe na mahusiano.. Ila huyu mtu anasema yeye lengo moja wapo lakuwa kwenye mahusiano Ni Kwamba lazima umfulie nguo na kumfanyia usafi kila week.

Mimi naona Haya majukumu nayabeba Kama Nani?...

Je Ni sahihi kumfulia nguo mtu ambae hujui hata future yenu huko mbele ikoje..

Nawasilisha.
Wale wazee waliokubaliana "mtaka cha uvunguni......." nafikiri walijua ipo siku utakuja kuuliza hio suali☻☻
Anyway 😎Nami nna nguo zangu wikiend uje ila ntakulipa mie sitaki mahusiano ni nguo na kunifaNyia usafi geto😁😁😁
 
Kwa upande wangu Mimi..sioni future nae..kabisa Yaaani Kwakweli.
Nashindwa tu kumwambia ila angekua na something to offer ningefua bila hiana..
Your thinking though.. bas mmekutana. Wote mnafukuzana kijanja.
Anaekupenda hawezi kukuambia sababu ka hizo za kua na wewe kimahusiano.
Na unaempenda (au kumconsider kua wako in the near future) huwezi kumuongelea kama ivi na vingine vingi ulivocomment juu yake.
 
Kwani yeye Ana offer Nini kwangu...maana mtu anademand umfulie umafanyie usafi ..yeye anakupa nini labda.

Kuna wanaume akikwambia umfulie yaani hata ubishi... Sasa huyu nae kajamba Nani
Anataka special treatment.. what does he have to offer?
Ww mwanamke unaoneka pungwani ,kwa hiyo una det kajamba Nani ?, Kwa nini una mdet mtu usiompenda ,mtu mpaka akambie umfulie inamanisha mmeshatafuniana kwa hiyo kumfulia sio kosa labda Kama wewe ni changudoa kwake unaweza kukataa ,lkn Kama mnadet na unamvulia nguo kumfulia ni swala la kawaida .
 
Habari,

Kwasasa nipo single..(Mtasema tangazo.. whatever)
Ila Kuna mtu anataka tuwe na mahusiano.. Ila huyu mtu anasema yeye lengo moja wapo lakuwa kwenye mahusiano Ni Kwamba lazima umfulie nguo na kumfanyia usafi kila week.

Mimi naona Haya majukumu nayabeba Kama Nani?...

Je Ni sahihi kumfulia nguo mtu ambae hujui hata future yenu huko mbele ikoje..

Nawasilisha.
Akikupatia na pesa pia kabla hujapokea uje uandike humu ankupa pesa kama nani?
 
Habari,

Kwasasa nipo single..(Mtasema tangazo.. whatever)
Ila Kuna mtu anataka tuwe na mahusiano.. Ila huyu mtu anasema yeye lengo moja wapo lakuwa kwenye mahusiano Ni Kwamba lazima umfulie nguo na kumfanyia usafi kila week.

Mimi naona Haya majukumu nayabeba Kama Nani?...

Je Ni sahihi kumfulia nguo mtu ambae hujui hata future yenu huko mbele ikoje..

Nawasilisha.
Mtahadhari sana huyo. Si mume wa kweli.
 
Back
Top Bottom