Mwanaume ambaye hajanioa anataka nimfulie nguo

Kwani yeye Ana offer Nini kwangu...maana mtu anademand umfulie umafanyie usafi ..yeye anakupa nini labda.

Kuna wanaume akikwambia umfulie yaani hata ubishi... Sasa huyu nae kajamba Nani
Anataka special treatment.. what does he have to offer?

Ooh kumbe tatizo ni kwamba hana kitu..angekuwa nazo hata usingeanzisha uzi dah [emoji3][emoji3]
 
Kaona jamaa hana mawe ndomana anamfanyia visa.
Makosa makubwa wanayofanya wanawake kwenye selection ya mtu wa kusettle naye wao wanaangalia mtu ambaye hata akimtambulisha kwa ndugu au marafiki ..wamuone wa maana ,so ikitokea akipokea negative comments km anavopata hapa jf bhac anaanza kutafuta sababu za kuachana hata km n weak km hz za mtoa mada...... Acha waendelee kutafunwa kimasiara ......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuseme anakutunza,lila unachotaka unapata.

Hadi ukiumwa ni jukumu la mwanaume,how is that?na binti anakaa kwao.
Fuata taratibu lipa mahari kajitambulishe funga ndoa utafuliwa mpaka boxer zako. Kwanini mnapenda kuleta dharau nyie vijana? Wewe binti yako akifanyiwa hivyo utafurahi? Au unadhani hivyo vipesa vyako unavyompa ndio ulete dharau kwenye familia nyingine kijana utachezea bakora. Naalabuk
 
Kwani yeye Ana offer Nini kwangu...maana mtu anademand umfulie umafanyie usafi ..yeye anakupa nini labda.

Kuna wanaume akikwambia umfulie yaani hata ubishi... Sasa huyu nae kajamba Nani
Anataka special treatment.. what does he have to offer?

What does he has to offer? Siyo what does he have to offer

Kiingereza chenyewe hujui. Nyodo tu zimekutawala
 
Sasa namwambia kwanini Haya Mambo yasifanywe tukisha oana... Yeye analeta ugomvi na kusema maneno kibao kuwa Sina msaada katika maisha Yake..

Sasa Mimi ndo nimsaidie kumfulia nguo..yeye anamsaada gani kwangu...

Kwakweli sielewi
Achana nae.mwambie kama anakupenda aje kwenu kujitambulisha taratibu za ndoa zikiwa zinaendelea na wewe utaendelea kumfulia.mshenzi wa tabia huyo.
 
Habari,

Kwasasa nipo single..(Mtasema tangazo.. whatever)
Ila Kuna mtu anataka tuwe na mahusiano.. Ila huyu mtu anasema yeye lengo moja wapo lakuwa kwenye mahusiano Ni Kwamba lazima umfulie nguo na kumfanyia usafi kila week.

Mimi naona Haya majukumu nayabeba Kama Nani?...

Je Ni sahihi kumfulia nguo mtu ambae hujui hata future yenu huko mbele ikoje..

Nawasilisha.
kuna ilo tu au kuna mengine?

ila hii dunia ya sasa sjui tunaenda wapi yani hadi ilo ni la kuomba ushauri?
 
Makosa makubwa wanayofanya wanawake kwenye selection ya mtu wa kusettle naye wao wanaangalia mtu ambaye hata akimtambulisha kwa ndugu au marafiki ..wamuone wa maana ,so ikitokea akipokea negative comments km anavopata hapa jf bhac anaanza kutafuta sababu za kuachana hata km n weak km hz za mtoa mada...... Acha waendelee kutafunwa kimasiara ......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake wengine aisee kama watoto,yani unamuhudumia kwa kila kitu,ila yeye kujiongeza hata weekend kuja kusafisha ghetto anaona mzigo.

Sometimes mtu afanye vitu(kujaliana) kwa upendo,hayo yandoa yawe matokeo.

We angalia hapa wanawake wote wanafundisha mambo ya hovyo tu.
 
Habari,

Kwasasa nipo single..(Mtasema tangazo.. whatever)
Ila Kuna mtu anataka tuwe na mahusiano.. Ila huyu mtu anasema yeye lengo moja wapo lakuwa kwenye mahusiano Ni Kwamba lazima umfulie nguo na kumfanyia usafi kila week.

Mimi naona Haya majukumu nayabeba Kama Nani?...

Je Ni sahihi kumfulia nguo mtu ambae hujui hata future yenu huko mbele ikoje..

Nawasilisha.
Mimi sioni ubaya wowote.
Hapo ni sawasawa na mfanyakazi ambaye yupo internship hawezi kugomea kazi kwa kigezo cha kwamba hajaajiriwa rasmi bali itabidi achape kazi ikiwezekana mara 2 ya wale ambao wameshaajiriwa ili kumuondoa shaka muajiri kuhusu utendaji wake na tabia kwa ujumla.
Ninachowashangaa mimi huwa mnasema hamuwezi kumfanyia kazi mchumba eti kwa vile bado hamjaoana lakini cha ajabu huwa mnadai pesa za matumizi.
Sasa mtu ambaye bado hajakuoa unamdai pesa kama nani kwako?
 
Fuata taratibu lipa mahari kajitambulishe funga ndoa utafuliwa mpaka boxer zako. Kwanini mnapenda kuleta dharau nyie vijana? Wewe binti yako akifanyiwa hivyo utafurahi? Au unadhani hivyo vipesa vyako unavyompa ndio ulete dharau kwenye familia nyingine kijana utachezea bakora. Naalabuk
Sio lazima kufuliwa,au kufanyiwa usafi..yote hayo yafanyike sababu ya upendo tu.

Sio sheria mwanamke kufanya hayo yote,ila mwanamke akikupenda kweli,unadhani utakuwa unamwelekeza cha kufanya?

Kweli unaona binti kaja kunitembelea,na anaona naosha vyombo,binti aisyejielewa atatulia na smartphone anakuchora tu.
 
Sawa atakufanyia hayo kwa mapenzi yake lakini siyo utaratibu na kwa mzazi anaejitambua hawezi kuruhusu huo upuuzi
 
Kwa iyo aya ya mwisho imedhihirisha kuwa ww ni empty set kichwani. Zaidi yakufua hizo nguo bali pia hufai kuwa hta house girl achilia mbali kuwa mke. Subili machweo utafute nyumba ya ibada ukamlilie Mungu amrudishe huyo mme anaeona hafai kwa sasa
Asante kwa kuchangia
 
Back
Top Bottom