Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,694
- 98,752
Basi achana nae mapema kabla hajapata something to offer ukampenda kweli akaanza kukutesaKwakweli...hata Mimi naona tu hatuwezi oana..Yaaani ikitokea ntakua nimekosa option kabisa.
Basi achana nae mapema kabla hajapata something to offer ukampenda kweli akaanza kukutesaKwakweli...hata Mimi naona tu hatuwezi oana..Yaaani ikitokea ntakua nimekosa option kabisa.
Hahaaa mimi sifanyi kabisa hayo mamboUnacheza na guest tu,au siyo?
Weeee, mbona mimi unanifulia?Si sahihi..
Kama anakutunza sawa ni halali hata umuogeshee 😂😂Tuseme anakutunza,lila unachotaka unapata.
Hadi ukiumwa ni jukumu la mwanaume,how is that?na binti anakaa kwao.
Haaa!!!hahaha girls girls..Hana hiyo hela ya kununua mashine yule..kwanza namuona siyo my type..na alivyoniletea habari zakumfulia ndo kabisaa naona mawasiliano yakipungua taratibu.
Kwa kweli kumfulia mwanaume hajakuoa ni kiherehere, Mimi hata kwenda anapoishi mwanaume staki kabisa, sembuse kufuliana aaargh
Something to offer like what??Kwa upande wangu Mimi..sioni future nae..kabisa Yaaani Kwakweli.
Nashindwa tu kumwambia ila angekua na something to offer ningefua bila hiana..
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Hahaaa mimi sifanyi kabisa hayo mambo
Usije ukaolewa nae kwa sababu humpendi laiti ungempenda tusingeyajua haya.... usiolewe naeHabari,
Kwasasa nipo single..(Mtasema tangazo.. whatever)
Ila Kuna mtu anataka tuwe na mahusiano.. Ila huyu mtu anasema yeye lengo moja wapo lakuwa kwenye mahusiano Ni Kwamba lazima umfulie nguo na kumfanyia usafi kila week.
Mimi naona Haya majukumu nayabeba Kama Nani?...
Je Ni sahihi kumfulia nguo mtu ambae hujui hata future yenu huko mbele ikoje..
Nawasilisha.
[emoji1787][emoji1787]Kwa maneno haya huyo mwanaume mwenyewe hana mke hapo
Usimpomfulia Ni ugomvi mkubwaa Sana...Na anasema haoni umuhimu wangu kama simfulii nguo..na hela hakupi..anasema nikupe yanini hunisikilizo na hunisaidii
Mkuu,kwakifupi huyo jamaa humpendi..Kwakweli...hata Mimi naona tu hatuwezi oana..Yaaani ikitokea ntakua nimekosa option kabisa.
Mfuliee nakushauriii siku ukifuaa lala kabisaaa mpe kilaa kituuuKama Huna ushauri ..kajambe mbele huko
Hahah jamaa[emoji1787]Unataka uwee unaendaa kupigwaa mpini na kusepa ausio???? Kama sex hata malayaa anaweza mpaa.. Una offer nini cha ziada kwake zaidi ya kupanua mapaja??
Me mwanamke simwambii nifulie..Kama anakutunza sawa ni halali hata umuogeshee [emoji23][emoji23]
Kweli kabisa... Ukimwambia naumwa atakwambia siko vizuri kwa Sasa... Ila wewe ukimwambia naumwa Siwezi kufua .Kama anakutunza sawa ni halali hata umuogeshee [emoji23][emoji23]