Mwanaume aliyebakwa baada ya kupanda lift ya mtu asiyemjua.

nahisi atakua na mwanaume..

am just thinking hivi mwanaume anaweza kubakwa na mwanamke yaani ile ya kinguvu kama ile kitu imelala wakati wa mbakano huwa inaamka na kuwa active kabisa

sijawahi kuona wala kusikia kesi ya mwanamke kumbaka mwanaume.
Mwanaume akibakwa basi alipenda mwenyewe
 
Sodomy,rape.sexual harassment,rape..........just connecting some dots
 
nahisi atakua na mwanaume..

am just thinking hivi mwanaume anaweza kubakwa na mwanamke yaani ile ya kinguvu kama ile kitu imelala wakati wa mbakano huwa inaamka na kuwa active kabisa

Na yeye huyo kijana anayaweza kwa kweli, we kumuomba mtu usiyemjua lift halafu alfajir sana anategemea nini? Mmh ila naye huyo aliyempa lift nae kiboko, ndo nini sasa jaman

Au usikute alipewa masharti achague amtupe kwenye daraja au ampe mambo, kijana wa watu akaona ujana mtamu inahuu ngoja amalizane nae
 
sijawahi kuona wala kusikia kesi ya mwanamke kumbaka mwanaume.
Mwanaume akibakwa basi alipenda mwenyewe

Yataka moyo unabakwaje na mwanaume mwenzio tena yupo peke yake na ilikuwaje mpaka akaamua kumbaka? , sema tu huu mkasa haujajielezea vizur
 
fundisho:

usipande lift ya mtu usiyemjua

Wee labda sio bongo, wadada wanavyopenda lift mmh sio kwa sababu eti wanashida na usafir wala wenyewe wanataka tu watongozwe maana wakishaona mwanaume ana gar bas chini panapweta
 
Mwanaume mmoja amebakwa katika barabara
ya daraja lenye shughuli nyingi mjini Newcastle
baada ya kukubali kupanda lifti ya mtu
asiyemjua.
Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 24
aliingia kwenye gari hilo dogo mapema alfajiri
ambapo alifanyiwa kitendo hicho cha ubakaji
katika eneo lenye nyasi nyingi karibu na daraja la
Redheugh, Newcastle.
Timu ya uchunguzi wa makosa ya ubakaji hivi
sasa inaendesha msako wa mtu aliyetekeleza
kitendo hicho na kuwataka mashuhuda
kujitokeza hadharani.
Afisa upelelezi kutoka mji wa Newcastle, Caroline
Ord, amesema hili ni tukio baya zaidi kutendewa
kwa kijana huyo ambapo sasa polisi wanafanya
kazi bega kwa bega na mtu huyo kuhakikisha
wanampata aliyetenda kosa hilo.

Muongo kila barabara ina cameras cctv
 
Mmmh mwanaume amebakwa
Aibu kwa mkewe or galfriend wake
Jamaa alishindwa kufight
 
nadhani hajabakwa bali alilawitiwa au kunajisiwa. Tendo lolote la kuingizwa u ume kwenye njia ya haja kubwa ni kulawitiwa-na hii anaweza fanyiwa ke au me. Kubakwa ni kitendo cha kuingiza uume bila ridhaa kwenye uke tu.kwa vile uke unapatikana kwa wanawake,huwa tunatamka kubakwa kwa mwanamke tu. Conclusion:mwanamme huwa habakwi bali analawitiwa!.
 
duuh! Nmecheka sana aisee
mkuu usawa huu nilivonahali mbaya wala wasinivizie wanitafutie2 kitmoto na konyagi ndogo...tupate kachumba kazur self kenye mahewa yakutosha nitawalajee aseeh...ukumbuke sihitaji hata mia yao just show ya maana....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom