Mwanaume alivyoumbuliwa

Mwanaume alivyoumbuliwa

Nikiwa napita pita mitaa ya mji wa watu nilikutana na kisa kimoja.

Nikiwa napita mitaa fulani fulani nikakutana na mkusanyiko wa watu kama kumi hivi na mwanamke akiwa ameshikilia kiuno anachonga ile mbaya. Nikasogea karibu ili nijue kulikoni. nilivyosogea nikasikia huyo mdada akimsema jamaa mmoja ambaye alikuwa kimya kama kanyeshewa mvua.

Huyu dada nikamsikia akisema kuwa "nimekuita hapa ili umuone mume wangu kwa sababu ulidhani mimi ni mtu wa kiivyo, fedha zako ulizokuwa unanipa kwa ajili ya chipsi sema nikiasi gani ili mume wangu akurudishie" pembeni palikuwa na mwanaume amekaa ametulia ambaye inadaiwa ndiyo mume wa huyo dada. Jinsi kisa kilivyokuwa ni kwamba huyu jamaa alikuwa akimtokea huyu dada ambaye kazi yake anauza duka la dawa (pharmacy).

Sasa huyu jamaa alikuwa akienda mara kwa mara kwa huyu dada na kutoa ofa mbalimbali ikiwamo ya kumnunulia chipsi na soda. Sasa huyu dada alivyokuwa anasumbuliwa akamwambia huyu jamaa wakutane mahali fulani ambapo wataongea zaidi. sasa huyu jamaa alipofika hapo ndiyo kizazaa hiki kikaanza.

Kwanza huyu mdada alimtambulisha jamaa kwa mume wake. Halafu akamwambia nilikuona unanisumbua sana kila napokueleza nimeolewa ulikuwa haunielewi sasa huyu hapa ni mume wangu.

Ongea sasa yote uliyokuwa unaniambia mbele ya mume wangu" jamaa alivyoambiwa hivyo akawa anajichekeshachekesha tu, jamaa akasema nilikuwa sina nia mbaya kama unavyodhani bali mambo ya kawaida tu.

Mume wa jamaa akawa anamuangalia tu bila kusema kitu, jamaa alivyoona mambo yanakuwa mabaya akaamua kuondoka huku mdada akimtupia maneno ya kashfa kuwa "kama amezoea kuzoa zoa siyo hapa, mimi nina mume wangu na ninajiheshimu" Jamaa nilimuona akiondoka huku akiongea mwenyewe kwa maneno ambayo sikuyaelewa.

Nami nikaondoka huku yule mdada na mtu aliyedai ni mume wake wakicheka. Sasa nikajiuliza huyu ni mume wake kweli au wa kuchonga ili kumuumbua jamaa? kama alijua ana mume kwanini alikuwa anakula vya watu?
Bila shaka ni wale wadada wenye midomo mbinuko kama huyu....
 
Kama hakupendi jinsia hiyo inaweza hata ikakupiga mbele za watu!Huyo mkaka angependwa hapo dukani hata kama haumwi anapewa dawa za kuchua ili amfurahishe tu

Ehehehe
 
Huyo sio mumewe...na kama ni mumewe hana akili..ni liboya fulani hivi maana mwanaume mwenye akili hawezi kukubali upuuzi huo.....ina maana huyo dada hawezi kusema hapana yeye mwenyewe hadi mumemwe ndo amsaidie kukataa?

kweli kabisa coz ukimuuliza je ina maana wote wanaokutongozaga huwa unmpelekea mumeo? kwani jamaa kwenda pale pia ni kwamba na yeye kama ametongozwa na sasa amekataa. Jamaa boya sana.
 
hilo jamaa zezeta kweli.. Na hakuna mwanamke mbaya kama yule anayekuambia wanaume waliomtongoza wakat aliowakubalia na kugegeda hakuambii na hujamkuta bikra... Ningekuwa mm ili tuelewane ningemwambia aniambie hata waliomgegeda vingnevyo notice tu

Sipatii picha mwanamke anaongea na mwanaume af dume jingine limekaa pembeni linakenua tu....shule ya muhimu kwa kweli mxiiiiuuu
 
huyo wala sio mume wala nini...huyo ni malaya mwenzake wanayeshirikia naye kumtapeli jamaa.
 
Huyo sio mumewe...na kama ni mumewe hana akili..ni liboya fulani hivi maana mwanaume mwenye akili hawezi kukubali upuuzi huo.....ina maana huyo dada hawezi kusema hapana yeye mwenyewe hadi mumemwe ndo amsaidie kukataa?

huyo mwanamke ni wa kumbaka ili kufidia fedha za jamaa alizokula...shenzy kabisa hana adabu kabisa...abakwe tu maana hakuna namna nyingine.
 
huyo mwanamke ni kumbaka ili kufidia fedha za jamaa alizokula...shenzy kabisa hana adabu kabisa...abakwe tu maana hakuna namna nyingine.

Na mimi nasema abakwe tu...tumeshachoka sasa
 
Huyo dada ana jipya cz wakiwa na michepuko yao huko wala hawasemi kuwaambia wame zao.

kwanini hamkumleta huyo "mume" wake tangu zamani? amesubiri kwanza ale vya watu ndio amlete huyo mume ----- wa kukodi? wanawake wengine bhana utadhani walipewa akili za kuku! ipo siku huo utapeli wake utamtokea puani.
 
dada na huyo anayemwita mume wote mafamba.... eti dume anakaa kwenye msuto wahii
 
Huyo sio mumewe...na kama ni mumewe hana akili..ni liboya fulani hivi maana mwanaume mwenye akili hawezi kukubali upuuzi huo.....ina maana huyo dada hawezi kusema hapana yeye mwenyewe hadi mumemwe ndo amsaidie kukataa?

umenena kabisa
 
Back
Top Bottom