Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,249
- 3,070
Mwanamke yoyote anayekutazama usoni Na anajua anatongozwa huyo anawalakini Na kakubuhu ktk yale mambo yetu
Mkuu nisaidie kumbe bado watu wanatongoza???Ivi bado tu kunakutongoza mpaka ss
wa kujificha!Mchezo gani mkuu
Lakini ukae ukijua mahitaji ya wanaume wote ni sawa, hivi mimi kwasababu sijajaaliwa uwezo mkubwa wa kutongoza adhabu yangu iwe kukukosa wewe? naomba nisaidie plzHahahaha pole! Huo ndiyo unaume bwege au udomo zege!
mimi nimeisha sahau kama ukimtaka mwanamke mpaka umtongoze rasmi, siku hizi walio wengi mpaka mtu anatafunwa anakua hajatongozwa.Wewe yule wa jf alikutazamaje usoni?? Mbona wewe uliingizwa kingi mtamdaoni???? Acha unafiki, kwanA siku hizi mwanaume "anayetongoza" anapoteza muda tu!
Ivi bado tu kunakutongoza mpaka ss
hiyo avatar nakulima ban sasa hivi.Ni kweli kwasababu wewe hupendi tabu unakimbilia kwa madada poa....kule hakuna kutongoza ni dau lako tu. Hapa Mimi nazungumzia sisi wenye status zetu.mimi nimeisha sahau kama ukimtaka mwanamke mpaka umtongoze rasmi, siku hizi walio wengi mpaka mtu anatafunwa anakua hajatongozwa.
Hao wanafanya hivyo ni wa low level ambayo ndiyo level yako wewe lkn hawa ninao wazungumzia utaishia kuwaita shemejiKitabu chako cha visa vya monicca wa jf kinaelekea kukamilika, ongera ila hakuna mwanamke mwenye ujasiri wa kumtizama mwananume osoni, ndio maana wengi wenu ukimbilia kung`ata kucha na kupiga pga miguu chini mithili ya paka shume.
Kwa maana umekuwa na waume wengi na huenda hata uliyenaye sasa si wako. Tubu na kumrudia mwenyezi Mungu acha kufundisha wenzio jinsi ya kutongozwa. Kama una uzoefu na wanaume wengi haimaanishi kuwa wewe ni mwema au mzuri sana bali njia nzuri ya kupita. Si unajua tena shortcurt inavyoharakisha? Mjianamke wewe mzoefu una tabu kweli!Habari zenu!
Wanaume wengi hujikaza sana wanapotaka kumtokea mwanamke mzuri au aliyesoma.
Hii inaonesha jinsi wasivyojiamini ndo maana wengi hukimbilia kutongozea mitandaoni.
Ukimtazama sana usoni mwanaume anae kutongoza kama hajiamini lazima atazame pembeni au abadiri mada.
Wadada msiyependa kupotezewa muda na mijianaume msiyoipenda itazameni usoni haitakuwa na ujasiri tena.
Wanaume wengine ni kama Simba ukimuangalia usoni hawezi kukutafuna anaona kama mnafanana naye,ila wengine ni kama Chui hata ukimtizama utaishia kutafunwa tu kwahiyo usijidanganye sana kwenye hilo.Habari zenu!
Wanaume wengi hujikaza sana wanapotaka kumtokea mwanamke mzuri au aliyesoma.
Hii inaonesha jinsi wasivyojiamini ndo maana wengi hukimbilia kutongozea mitandaoni.
Ukimtazama sana usoni mwanaume anae kutongoza kama hajiamini lazima atazame pembeni au abadiri mada.
Wadada msiyependa kupotezewa muda na mijianaume msiyoipenda itazameni usoni haitakuwa na ujasiri tena.