Huyo atakuwa wa kishimunduUnaweza ukaelewa lkn ukawa huna mpango ndipo jamaa anaamua kujitosa.

Njoo unitazame machoni tuone kama utatoka?Habari zenu!
Wanaume wengi hujikaza sana wanapotaka kumtokea mwanamke mzuri au aliyesoma.
Hii inaonesha jinsi wasivyojiamini ndo maana wengi hukimbilia kutongozea mitandaoni.
Ukimtazama sana usoni mwanaume anae kutongoza kama hajiamini lazima atazame pembeni au abadiri mada.
Wadada msiyependa kupotezewa muda na mijianaume msiyoipenda itazameni usoni haitakuwa na ujasiri tena.
Sasa ulijuaje kama huwa wanakwenda kwa mganga? Bilashaka hata hapo ulipo unalihilizi kubwaaaa kiunoni.
Nakuomba inbox mara moja nina shida!!Ndo wale wale tu
Habari zenu!
Wanaume wengi hujikaza sana wanapotaka kumtokea mwanamke mzuri au aliyesoma.
Hii inaonesha jinsi wasivyojiamini ndo maana wengi hukimbilia kutongozea mitandaoni.
Ukimtazama sana usoni mwanaume anae kutongoza kama hajiamini lazima atazame pembeni au abadiri mada.
Wadada msiyependa kupotezewa muda na mijianaume msiyoipenda itazameni usoni haitakuwa na ujasiri tena.
Najiamini katika maswala mengine lakini hili la kuingiliana najisikia aibu nihurumie tu.Kama unajiamini ongea hadharani