Asante, ila wewe si uliingizwa kingi bila kuangalia macho??Pole yako mwaya!
Habari zenu!
Wanaume wengi hujikaza sana wanapotaka kumtokea mwanamke mzuri au aliyesoma. Hii inaonesha jinsi wasivyojiamini ndo maana wengi hukimbilia kutongozea mitandaoni.
Ukimtazama sana usoni mwanaume anae kutongoza kama hajiamini lazima atazame pembeni au abadiri mada. Wadada msiopenda kupotezewa muda na mijianaume msiyoipenda itazameni usoni haitakuwa na ujasiri tena.
Rafiki Bora ubaki tu na Mama nanihii hawapo hao siku hizi
Kashindwa zamani ndoa mchezo?Hivi huyu ndo yule alieaga kwa mbweeembwe anakwenda kuolewa?
Nakuelewa sana rafikiRafiki Bora ubaki tu na Mama nanihii hawapo hao siku hizi