Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Basi sawa!Habari zenu!
Wanaume wengi hujikaza sana wanapotaka kumtokea mwanamke mzuri au aliyesoma. Hii inaonesha jinsi wasivyojiamini ndo maana wengi hukimbilia kutongozea mitandaoni.
Ukimtazama sana usoni mwanaume anae kutongoza kama hajiamini lazima atazame pembeni au abadiri mada. Wadada msiopenda kupotezewa muda na mijianaume msiyoipenda itazameni usoni haitakuwa na ujasiri tena.
unakuwa ushaeleweka