vaileth zainab
Member
- Jun 2, 2016
- 20
- 27
hii ni kiboko kha kuchukuana ivo jaman kh adunia inavituko kutongozwa raha mnoHivi dunia hii bado kuna watu wanatongoza??
Siku hizi ni kuvutana tu, mitongozo ishaishaga.
hii ni kiboko kha kuchukuana ivo jaman kh adunia inavituko kutongozwa raha mnoHivi dunia hii bado kuna watu wanatongoza??
Siku hizi ni kuvutana tu, mitongozo ishaishaga.
Kwani ukimuangalia usoni ndio ataacha kukutongoza mweeeh! njoo tujaribu mimi na weweHabari zenu!
Wanaume wengi hujikaza sana wanapotaka kumtokea mwanamke mzuri au aliyesoma. Hii inaonesha jinsi wasivyojiamini ndo maana wengi hukimbilia kutongozea mitandaoni.
Ukimtazama sana usoni mwanaume anae kutongoza kama hajiamini lazima atazame pembeni au abadiri mada. Wadada msiopenda kupotezewa muda na mijianaume msiyoipenda itazameni usoni haitakuwa na ujasiri tena.
Katulie ukijua uje tenanlikua sifahama kua kutongozwa ni katukio.. navyojua kutongozwa ni process tena inaanzia mbali kwenye kuomba namba ya simu, kuletewa hiki na kile, kukaribishwa gheto, kupelekwa hapa na pale sasa sijui sa ngapi utamuangalia usoni.. maana anaemaanisha anakupenda hakuelezi siku moja bali kila siku kwa njia mbali mbali paka unakolea..
ile kutongozwa ya hapo hapo hua mara nyingi ni kwa ajili ya kunaniliwa tu na kuachwa sijui ndo unaongelea hiyo!
Watu wanaoaga huwa hawaondoki humuMbona ulituaga kuwa bye bye Jf?
Nimecheka sana aseeunawazaga pumbu tu, nyie ndio badae mtaitwa vilaza
Sio Mr ni Mrs /missShikamoo Mr. Moniccca
Asante Ila najua mhusika kanielewaSio Mr ni Mrs /miss
teh teh tehhii ni kiboko kha kuchukuana ivo jaman kh adunia inavituko kutongozwa raha mno