Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Unajua neno "honesty-ukweli" kwa western culture linajenga mahusiano lakini kwa culture yetu sisi linaweza kuvunja mahusiano.

1. Wazungu anakuwa honesty kukuambia kuwa hana feelings na wewe tena lakini mwanaume wa Kiafrika hasemi ila atatafuta mchepuko.
2. Ukipimwa ujulikane una ugonjwa kama huo, mke/mume wako anatakiwa kuwa tulizo la kwanza, daktari anaekutibu ki-sheria anarusiwa kumwambia mume/mke wako. Wengine wanaona heri amamwambie rafiki lakini mume/mke asijue.
Kweli husemayo ukisema unaumwa unaweza zidiwa maana unyanyapaa na malaumu yaweza kukuvuruga. Ila sidhani kama ni fair kutokusema ukweli. Pia kisheria dkt haruhusiwi ku-disclose health status ya patient without his/her consent
 
No UKIMWI kwakuwa ni gonjwa linaloambukiza na tendo la ndoa ni mojawapo ya njia za maambukizi ina category tofauti, ni lazima mtu unaefunga nae ndoa umweleze kisheria ama sivyo anaweza kukushtaki na ukafungwa. Pia kwa daktari katika ugonjwa huu anaruhusiwa kupitisha information za ugonjwa wako kwa mume/mke wako, ana haki ya kumlinda mume/mke wako kisheria pia.
 
Hakuna kitu kama hiyo, Dkt atamshauri mgonjwa amlete partner wake lakini hana ruhusa ya kudisclose status ya mgonjwa bila consent yake. Ndio maana mnapotaka kufunga ndoa mnaenda wote kupima na kabla hujawapa majibu inabidi wa declare kuwa wako tayari kushirikishana status zao.
 
Sawa mkuu.
 
Sawa mkuu.
Lakini linapokuja swala la safeguarding doctor has a power to override patient's autonomy daktari atakushauri umweleze mwenza wako na ukikataa kufanya hivyo anaweza yeye. Pia ikitokea umemwambukiza mtu ugonjwa ukikiwa unajitambua wewe ni mgonjwa that is a criminal offence, hata akiwa mume/mke wako.
 
What???? Kwani thredi inasemaje...
Mpenzi wapenda vya gugo?? Mimi na wewe tu yaani....nakutongoza kila siku ujue....kwa macho...macho yaonayo hisia zako.....hatuna haja ya gugo wala blah blah....

My RR hajanitongoza like this kitambo kweli!!!!!!!!!!!!!!!
 
What???? Kwani thredi inasemaje...
Mpenzi wapenda vya gugo?? Mimi na wewe tu yaani....nakutongoza kila siku ujue....kwa macho...macho yaonayo hisia zako.....hatuna haja ya gugo wala blah blah....

Vya gugo sipendi............kutongoza kwa macho tu haitosh mpnz.....maneno matamu matamu ujue yanaraha yake!!!!!!!!!!!
 
Hebu ngoja jioni niporomoshe verse.....kama za singeli ....
Vya gugo sipendi............kutongoza kwa macho tu haitosh mpnz.....maneno matamu matamu ujue yanaraha yake!!!!!!!!!!!
 
Kwanza ukiachika au ukiwa single parent, kuolewa ni kazi. Best yangu aliolewa na mtoto, mawifi walisema alafu kaka ni design "golden boy" kwenye family. Lakini alimpenda mke wake, ndoa iliendelea, umpate mwanaume mwenye msimamo.
wachache sana waelewa na anakua anakupenda kweli tu,Ila ndugu ndo hua wanachonga midomo mnoo!
 
Na pia kuna pressure ya familia na jamii kiujumla, kulazimisha mke abaki kwenye ndoa huku anaumia. Hii inabidi kubadilika kwa kweli.
Upande wangu ilibidi waelewe maana kaahh!hapana wanicheke tu but the most important thing in ma life is my happiness,waliongeaa walioelewa walielewa wasiolewa shauri zao!
Mi ndo ambae nilikua najua kitanda kile kina kunguni kiasi gani!
 
True dear, the most important thing is your happiness. Good for you una huu uelewa.
Inasikitisha kwa wale wanaotaka kufurahisha wengine wakati wao wanaumia.

Halafu kuna kisingizio cha watoto, kwamba unabaki kwa jili ya watoto. Hao watoto wataishi maisha ya amani kweli kama hakuna amani kwa wazazi?! Huwa nasikia vibaya sana kwa watoto wanaopitia hayo from wazazi.

Kuna mdada almost called off her wedding a month before as she was so nervous to get into it, because her parents marriage was so messed up.
Yaani wazazi na familia ilikuwa ni magonvi kila kukicha. Not knowing that haya mambo yana affect watoto pia baadae.
 
Na pia kuna pressure ya familia na jamii kiujumla, kulazimisha mke abaki kwenye ndoa huku anaumia. Hii inabidi kubadilika kwa kweli.
Afadhali mkubalianae kupeana break, kila mtu apumulie kivyake, imgine jitu linakuudhi na ukitoka kazini mnakutana😡
 
True dear, the most important thing is your happiness. Good for you una huu uelewa.
Inasikitisha kwa wale wanaotaka kufurahisha wengine wakati wao wanaumia.

Halafu kuna kisingizio cha watoto, kwamba unabaki kwa jili ya watoto. Hao watoto wataishi maisha ya amani kweli kama hakuna amani kwa wazazi?! Huwa nasikia vibaya sana kwa watoto wanaopitia hayo from wazazi.

Kuna mdada almost called off her wedding a month before as she was so nervous to get into it, because her parents marriage was so messed up.
Yaani wazazi na familia ilikuwa ni magonvi kila kukicha. Not knowing that haya mambo yana affect watoto pia baadae.
wengine washazoea kua tegemezi so akiondoka hana pa kuanzia
Wengine wanapenda pesa hata watobolewe macho!
Wifi yangu hajaolewa Ila anapigwa mpk kazimia mwanume hamtaki yy anamng'ang'ania kisa amezaa nae na yy anadai anampenda
Yaani analazimisha ndoa mwanaume kasema hamuoi yaani vurugu tupu!
Wakikaa pamoja kila Siku kupigana sasa maisha gani hayo!
Wanafurahisha shetani huku kiti anaumia!!
 
Wengine wanampenda mwanaume ukitegemea atabadilika, wakati unaumia wewe, kwanza akishajua umejua kuna mwingine na wewe umeaccept, ndiyo mwanzo wa kukutia kidole.
 
Nimeamini Mwenye tabia yake haachii!kama mtu mzinzi ni mzinzi tu atajipa muda baada atarudi pale pale kwenye tabia yake,
Kama mpigaji nae hvyo hvyo!!
So kama unaamua kuanza mahusiano au ndoa na Mtu Mwenye tabia yoyote ile bas we kaa ukijua hiyo ndo tabia yake na hatoacha kamwe!
 
Back
Top Bottom