Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Nakumbuka nshakuambia wivu wangu ni mpaka kwa kaka zako. Asa huyu ni nani wamchekea kwa kiwango cha lami? Unataka kujenga ukuta?? Ntaubomoa
my bae ubomoe tu nakuruhusu,hawa si ndo wale vijana wasumbufu sumbufu!!
huyu mpita njia tu!
asitutie presha baby!pleaseee.!come back home!
 
ndio maana kuna haki ya kudai talaka, ... mwanamke ukiona mume hasomeki dai talaka muachane sa unasubiri nini
 
Nami nimezaliwa kwa ajili yako.... ukifa mi ntafariki... ukiniacha ntafariki ili nawe ufe.

Sijajuta kukufahamu, najuta kuchelewa kukufahamu
hahaaaa!my babe!
sema unachotaka,gusa unapotaka
Mimi ni wako,wako peke yako..
Sina mwingine zaidi yako!!
 
my bae ubomoe tu nakuruhusu,hawa si ndo wale vijana wasumbufu sumbufu!!
huyu mpita njia tu!
asitutie presha baby!pleaseee.!come back home!
Hun... najua una shida ya meno. Vuta subira kidogo mishikaki ilainike. Afu kama kawaida nikukute without... kuna sababu ya kupoteza muda??
 
Back
Top Bottom