Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Nimeamini Mwenye tabia yake haachii!kama mtu mzinzi ni mzinzi tu atajipa muda baada atarudi pale pale kwenye tabia yake,
Kama mpigaji nae hvyo hvyo!!
So kama unaamua kuanza mahusiano au ndoa na Mtu Mwenye tabia yoyote ile bas we kaa ukijua hiyo ndo tabia yake na hatoacha kamwe!
Mlikutana chuo, ulishagombana na girlfriends wake 3, hukuachia kwasababu akikubembeleza anakwambia atakuoa, na kweli wewe unajiona special kuwa ndiye future wife. Masikini hujui kuwa huko unakokwenda cha moto utakiona.
 
wengine washazoea kua tegemezi so akiondoka hana pa kuanzia
Wengine wanapenda pesa hata watobolewe macho!
Wifi yangu hajaolewa Ila anapigwa mpk kazimia mwanume hamtaki yy anamng'ang'ania kisa amezaa nae na yy anadai anampenda
Yaani analazimisha ndoa mwanaume kasema hamuoi yaani vurugu tupu!
Wakikaa pamoja kila Siku kupigana sasa maisha gani hayo!
Wanafurahisha shetani huku kiti anaumia!!

Aisee!, inasikitisha. Sisi wanawake nao!
Kwani usipoolewa huwezi kuishi?
Halafu kwa hela, kama atapata za matunzo ya mtoto shida iko wapi?
Tatizo anataka kuwa na mwanaume ndani, halafu mwanaume mwenyewe jina tu...mbona kazi.
 
Wengine wanampenda mwanaume ukitegemea atabadilika, wakati unaumia wewe, kwanza akishajua umejua kuna mwingine na wewe umeaccept, ndiyo mwanzo wa kukutia kidole.
Mlikutana chuo, ulishagombana na girlfriends wake 3, hukuachia kwasababu akikubembeleza anakwambia atakuoa, na kweli wewe unajiona special kuwa ndiye future wife. Masikini hujui kuwa huko unakokwenda cha moto utakiona.

Kuwa na hopes kuwa mtu atabadilika is wrong (my opinion)
Haya mambo ya ku compromise na ku ignore red flags simply because you want to be a part of the marriage circle, is clearly wrong. Kuna siku litakuja kulipuka tu.
 
Kuwa hopes kuwa mtu atabadilika is wrong (my opinion)
Haya mambo ya ku compromise na ku ignore red flags simply because you want to be a part of the marriage circle, is clearly wrong. Kuna siku litakuja kulipuka tu.
😛😛😛
 
  • Thanks
Reactions: kui
Aisee!, inasikitisha. Sisi wanawake nao!
Kwani usipoolewa huwezi kuishi?
Halafu kwa hela, kama atapata za matunzo ya mtoto shida iko wapi?
Tatizo anataka kuwa na mwanaume ndani, halafu mwanaume mwenyewe jina tu...mbona kazi.
Kibongobongo bila ndoa haujakamilika !
Hiko ndo hutucost wengi sana!!
Na vile kurushana roho sasa!
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mlikutana chuo, ulishagombana na girlfriends wake 3, hukuachia kwasababu akikubembeleza anakwambia atakuoa, na kweli wewe unajiona special kuwa ndiye future wife. Masikini hujui kuwa huko unakokwenda cha moto utakiona.
Hvyo hvyo mwisho wa siku wengi tunaambulia mateso na majuto!
Wapo baadhi waliofanikiwa kuwabadilisha waume zao Ila si wote

Haya maisha ya kulazimisha ndoa sio kabisa!.Jamii nazo zinatupa presha sana kwa kweli!
Usipoolewa sio mwanamke loohh!
 
Wengi wao wanaume wanabadilika ukiwa wewe ndiye mwenye uchumi imara, unakuta na yeye brother hataki kuumbuka mjini, anaangalia huko kote anapoteza. Utasikia darling basi mimi nitakudrop kazini asubuhi. Wanaume ni wajanja sana.
 
Yaani, ukisikia vitu wanafanya kwa ajili tu mtu aolewe!, sad kwa kweli.
Yaah!presha kutoka kwa familia na jamii zinachangia sana!
Mzazi ànaona watoto wa wenzie wanaolewa wa kwake wapo tuu!
Lazima achanganyikiwe!
 
  • Thanks
Reactions: kui
Wengi wao wanaume wanabadilika ukiwa wewe ndiye mwenye uchumi imara, unakuta na yeye brother hataki kuumbuka mjini, anaangalia huko kote anapoteza. Utasikia darling basi mimi nitakudrop kazini asubuhi. Wanaume ni wajanja sana.
Yaah!maana anajua ana manufaa napo .Na tulivyo dhaifu acha tu!kuna kitu umenikumbusha daahh ngoja nicheke tu mamyy!
Kweli kabisa!
 
Wanawake bana kwenye migogoro ya Ndoa huonyesha wao ndiyo wanaonewa sana.

Sasa ukija kusikiliza upande wa pili....oooh. Ni bahati nzuri Wanaume si watoa siri hasa inapohusu ndoa!! Wanakufa na tai shingoni
 
Vipi kwa upande wako, missed you though!

...misshed U too!
Kwa upande wangu kwa kweli si support mtu kulazimisha kitu kama ndoa, madhara yake si mazuri. Tatizo, (kama lilivyosemwa humu) ni mazingira na jamii iliyotuzunguka, the pressure is too high, kitu ambacho kinaletea watu matatizo.
Naamini kuwa if someone love themselves first, and do what's right, love will find them, at the right place and the right time.
 
Wanawake bana kwenye migogoro ya Ndoa huonyesha wao ndiyo wanaonewa sana.

Sasa ukija kusikiliza upande wa pili....oooh. Ni bahati nzuri Wanaume si watoa siri hasa inapohusu ndoa!! Wanakufa na tai shingoni
kweli je!!
Ila hata wao wanaongea si unaona humu jf thread za malalamiko ya wanaume ni nyingi tu!!
Wanasema msema peke hushinda Ila mkiwaweka wote wawili waweza kuta wote wakosefu!
Cha msingi ni hekima na busara vinahtajika ktk kufanya maamuzi!
 
Back
Top Bottom