kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,500
Hivi wewe mbona unapenda kuijaribu sumu kwa kuionja? Mambo mengine we yaachege yapite jama upepo... kikombe alichonipa baba, sitakinywa???
Haunaga mfano ujue!..lol
Hivi wewe mbona unapenda kuijaribu sumu kwa kuionja? Mambo mengine we yaachege yapite jama upepo... kikombe alichonipa baba, sitakinywa???
Na roho yangu inashangilia....Hahaha, ukuu wa wapi dear, moyo wangu wamtumainia Bwana, kwa maana ndie Anyooshae mapito yangu..
Wanawake ndio chemchem ya uhai. Pale tutakapo jifunza kwamba wanawake are not mere mortals, that they bring & create life kwa kuweka dhana ya kuwapenda, kuwathamini na kuwaheshimu alot vitabadilika. Everything in this world exist not because of fait, or coincedence. But because of women. Ukiamua kuoa blaza make sure inatokea moyoni. Sio kwasababu age mates wako wameeo, not ur peers, not collegues. True love is still out there its what makes everything btn time & space matter nimechoka kusikia maswala ya kuachana au kuquit ndoa.
Shukran kiongozi wanguWhat a wonderful statement about women!
Imejitosheleza.
Labda kwake njaa iwe ni msamiatiSio wote, wengine wanabaki wametulia tu, busy na watoto wao
Kuendekeza "dhiki", ndo kunafanya watu wawe wahuni na sio njaa. Kuna watu wengi wana maisha ya chini ila wanajali utu wao mno, so wanaridhika na wakipatacho. Na kuna watu wenye maisha mazuri tu ila kwa tamaa zao, kutokuridhika na kuendekeza dhiki, wanajikuta mambo ya aibu ili tu, kutaka kuishi maisha yasiyo yaoLabda kwake njaa iwe ni msamiati
Umehamua kufunguka, kuna mambo ma2, mahitaji ya mwili kama binadamu na hapo itategemea na umri wake kama ni below 45 ni ngumu kuhimili vishawishi vya wanaume na kuna kufanya hayo ili akidhi mahitaji ya familia ila ukweli ni kuwa kuliko kusepa mama bora asepe baba watoto watakuwa na ELimu pamoja na afya njema.Kuendekeza "dhiki", ndo kunafanya watu wawe wahuni na sio njaa. Kuna watu wengi wana maisha ya chini ila wanajali utu wao mno, so wanaridhika na wakipatacho. Na kuna watu wenye maisha mazuri tu ila kwa tamaa zao, kutokuridhika na kuendekeza dhiki, wanajikuta mambo ya aibu ili tu, kutaka kuishi maisha yasiyo yao
Ukimuona mwanamke kaamua kubeba wanawe na huku anajijua kabisa hajui hata pa kuanzia, don't you ever underestimate that woman, concentration yake ni wanawe tu, angekuwa na hamu sana ya wanaume angebaki tu kwa mumewe mchepukaji, wakawa na open relationship. And yes nawaombea wanawake wa type hii, Mungu asiwapungukie Kwa lolote, wasije ishia njia ovu
Teh yakikukuta makubwa hata hamu huwa inaisha. Mume mara nyingi haondoki, wewe ndo utaamua uvumilie au uondokeUmehamua kufunguka, kuna mambo ma2, mahitaji ya mwili kama binadamu na hapo itategemea na umri wake kama ni below 45 ni ngumu kuhimili vishawishi vya wanaume na kuna kufanya hayo ili akidhi mahitaji ya familia ila ukweli ni kuwa kuliko kusepa mama bora asepe baba watoto watakuwa na ELimu pamoja na afya njema.
exactly utu kwanza,pesa zinatafutwa!Kuendekeza "dhiki", ndo kunafanya watu wawe wahuni na sio njaa. Kuna watu wengi wana maisha ya chini ila wanajali utu wao mno, so wanaridhika na wakipatacho. Na kuna watu wenye maisha mazuri tu ila kwa tamaa zao, kutokuridhika na kuendekeza dhiki, wanajikuta mambo ya aibu ili tu, kutaka kuishi maisha yasiyo yao
Ukimuona mwanamke kaamua kubeba wanawe na huku anajijua kabisa hajui hata pa kuanzia, don't you ever underestimate that woman, concentration yake ni wanawe tu, angekuwa na hamu sana ya wanaume angebaki tu kwa mumewe mchepukaji, wakawa na open relationship. And yes nawaombea wanawake wa type hii, Mungu asiwapungukie Kwa lolote, wasije ishia njia ovu
Habari ya ARV achene jamani, kuna program nimewahi kufanya ya ARV adherence, nilikuwa nina participants nafanya research nao kuhusu matumizi ya ARV, jamani ilibidi niache tu kazi na kutafuta kazi nyingine maana niliona naaribikiwa. eti unakuta mume au mke anatumia dawa lakini mwenzake hajui anamwambia anatumia dawa za kisukari au Moyo, nikawa najiuliza hizi ndoa au ni nini, hizo data ukisikiliza unaweza husitamani Kuishi na mtu, nilijimega tu nisijue mengi yakaniaribu maisha yangu bure (I mean marriage kind of socialization)Ikifanyika stop and search za ARV's anaekutwa nazo awekwe ndani, nusu hawatarudi majumbani😡😡
Unajua neno "honesty-ukweli" kwa western culture linajenga mahusiano lakini kwa culture yetu sisi linaweza kuvunja mahusiano.Habari ya ARV achene jamani, kuna program nimewahi kufanya ya ARV adherence, nilikuwa nina participants nafanya research nao kuhusu matumizi ya ARV, jamani ilibidi niache tu kazi na kutafuta kazi nyingine maana niliona naaribikiwa. eti unakuta mume au mke anatumia dawa lakini mwenzake hajui anamwambia anatumia dawa za kisukari au Moyo, nikawa najiuliza hizi ndoa au ni nini, hizo data ukisikiliza unaweza husitamani Kuishi na mtu, nilijimega tu nisijue mengi yakaniaribu maisha yangu bure (I mean marriage kind of socialization)
Sisi huku mradi mmeoana na kuzaa kuachana hakuna au mkiachana basi we ndo unaoneka failure mkubwa kweli!Unajua neno "honesty-ukweli" kwa western culture linajenga mahusiano lakini kwa culture yetu sisi linaweza kuvunja mahusiano.
1. Wazungu anakuwa honesty kukuambia kuwa hana feelings na wewe tena lakini mwanaume wa Kiafrika hasemi ila atatafuta mchepuko.
2. Ukipimwa ujulikane una ugonjwa kama huo, mke/mume wako anatakiwa kuwa tulizo la kwanza, daktari anaekutibu ki-sheria anarusiwa kumwambia mume/mke wako. Wengine wanaona heri amamwambie rafiki lakini mume/mke asijue.
Yaah na familia ni sehemu ya ndoa, wnSisi huku mradi mmeoana na kuzaa kuachana hakuna au mkiachana basi we ndo unaoneka failure mkubwa kweli!
Huku kwetu ni ngumu sana watoto wa pande mbili kupendana,maana ukute baba mbaguzi au mama mbaguzi tayari tatizo!Yaah na familia ni sehemu ya ndoa, wn
1. Wajomba na shangazi ni sehemu ya ndoa yenu
2. Viongozi wa dini
Wakati hamtaki hata kuangaliana sura, vikao vya wazazi vinataka kuwapatanisha. Some how lakini familia za wazungu zinachekesha, unakuta mume amekuja na watoto wake kutoka kwenye ndoa ya kwanza na mke amekuja na watoto wake na watoto wanaweza kupendana kiukweli si ndugu wa damu. Full majanga.
Kwanza ukiachika au ukiwa single parent, kuolewa ni kazi. Best yangu aliolewa na mtoto, mawifi walisema alafu kaka ni design "golden boy" kwenye family. Lakini alimpenda mke wake, ndoa iliendelea, umpate mwanaume mwenye msimamo.Huku kwetu ni ngumu sana watoto wa pande mbili kupendana,maana ukute baba mbaguzi au mama mbaguzi tayari tatizo!
Ndugu nao wanawavuta masikio kushoto na kulia!kila mtu anajitenga na wake!