Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,377
Bazazi weeeThats my girl...
Yani chapchap sana kwa raha zetu.
Wenye wivu wasukume ukuta
Bazazi weeeThats my girl...
Yani chapchap sana kwa raha zetu.
Wenye wivu wasukume ukuta
Njoo ule mahindi nlokuchomea. Si ndo unachokitakaga?Bazazi weee
Njoo ule mahindi nlokuchomea. Si ndo unachokitakaga?
, napendaje mahindi ya kuchomaMwanamke wa Dar katika ubora wake. Hapo unashiba kabisa dinner hiyo!!![]()
![]()
, napendaje mahindi ya kuchoma
Mdomo uliponza kichwa...ohooUtatimuliwa mavumbi tu. Shauri zako
Mmh we kwetu sio Darrr, wa mkoani mieMwanamke wa Dar katika ubora wake. Hapo unashiba kabisa dinner hiyo!!
Mmh huyo panadol? Utaumwa kichwa na asikutibubinamu acha unoko!!
we hutaki Shem darling?!!!!!!
Kana wivu hako, wakati kuolewa hakataki.binamu acha unoko!!
we hutaki Shem darling?!!!!!!
Jumamosi twende tu nyumbani tukaanze processKana wivu hako, wakati kuolewa hakataki.
Mkubali uone![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kwa hiyooo?!!!
Wivu wako mpaka kwa dada zako??Mmh huyo panadol? Utaumwa kichwa na asikutibu
Huyo niachie mwenyewe. Ntamnyoosha. Mwambie kabisa mi sijaribiwi.
Hadi kwa dada zako piaWivu wako mpaka kwa dada zako??
Nini tena?? Mbona waguna kama imekosea njia?daaahh!!!