Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Being extra picky is not good either.

Not good because you may end up running the risk of being hit by analysis paralysis of decision making especially when time and tide wait for no [wo]man.
And here the story goes!!!
 

Haya ndo maneno... Zama za kumtegemea mwanamume ili akutunze zimepitwa na wakati. Get ur own flow na akizingua unajikusanya u move on and live ur life.
 
Oooh
 
[/QUOTE]

Pole sana mpenzi kwa maswahibu yaliyokupata.

lakini si wanaume wote tuko kama huyo mjinga wako.
 

Nakusoma vzr mkuu. Umedadavua vyema kabisa. Matarajio yanaposhindwa kufikiwa ndo huleta migogoro ya kwenye ndoa. Tujifunze kutotarajia makubwa sana kutoka kwa wenzi wetu.
 


Pole sana mpenzi kwa maswahibu yaliyokupata.

lakini si wanaume wote tuko kama huyo mjinga wako.[/QUOTE]

Hahahhaha Babuu unataka kutumia fursa
 
Haya ndo maneno... Zama za kumtegemea mwanamume ili akutunze zimepitwa na wakati. Get ur own flow na akizingua unajikusanya u move on and live ur life.
Mume kukutunza muhimuu..kakuoa wa nini..bt mwanamke kujiweza ni kama insurance, usimtegemee 100% have ur own japo kidogo..mtu hela ndogondogo zisikupige chenga kisa umebweteka
 
Wanaume ni wabinafsi sana! Hakuna cha limbwata wala nini ila ni ubinafsi na uchoyo ndo umewajaa, wanaume wengi wenye michepuko ni wale wanaoishi kwa kula na kunywa nje ya nyumba zao, mtu home kaacha elfu 5,nje anakwenda kula peke yake elfu 20-40 kwa siku atakula kuku,chips, bia na bado atawanunulia wanaomzunguka lakini mkewe kamuachia elfu 5 toka asubuhi hadi jioni na wana watoto!! Binafsi baba yangu na utu uzima alionao asipoliona jengo La Bar basi ujue anaumwa,nakumbuka mama alikua ananiambia nikiondoka wanangu hamtasoma-alivumilia sisi tusome mpaka leo nna maisha yangu namwangalia mama kwa jicho la pekee sana maana kwa nguvu na upendo wake nimefika hapa nilipo leo japo hakua na kazi ila asimamia mateso aliyopitia ili leo sisi tuwe hapa tulipo
 
Vipi siku mzee machache akifulia miss atakimbia? Nawaza kwa sauti tu hahahahahah
 


Pole sana mpenzi kwa maswahibu yaliyokupata.

lakini si wanaume wote tuko kama huyo mjinga wako.[/QUOTE]
Hahahaaa! Babu bwana eti huyo mjinga wake.
 
Babu Asprin ulicomment vipi? Mbona sielewi elewi nikikuquote[emoji134]
 
kwa nini hakumsimamia mpaka wapime dah..huruma zingine sio hata kanisan unaambiwa isiwe too much
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…