Zitto
Former MP Kigoma Urban
- Mar 2, 2007
- 1,562
- 10,880
Ndugu Wananchi
Katika kuhakikisha kuwa Chama chetu cha ACT Wazalendo kinakuwa na Ilani ya Uchaguzi yenye majawabu ya changamoto za nchi yetu, nimeunda timu yenye wanachama wa ACT Wazalendo na Wataalamu (Professionals) ili kuchambua maoni ya Wananchi yaliyokusanywa nchi nzima wakati wa “Listening Tour” na kuandaa Rasimu ya Ilani ya mwaka 2020 .
Timu hii ya Ilani ya ACT Wazalendo kwaajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 itaongozwa na mwanataaluma ndugu Mwanahamisi Singano na Sekretariat yake itakuwa chini ya ndugu Idrisa Kweweta ambaye ni Katibu wetu wa Sera, Utafiti na Mafunzo. Wajumbe ni timu hii ni wafuatao
1. Emmanuel Lazarius Mvula - Wakili na Mtaalam wa Haki za Kijamii
3. Dkt. Elizabeth Benedict - Mtaalam Sekta ya Afya
4. Godluck Mushi - Mtaalam Sekta ya Fedha
5. Ismail Jussa Ladhu - Mjumbe wa Kamati Kuu
6. Abdul Omary Nondo - Mwenyekiti, Ngome ya Vijana ACT Wazalendo
7. Dkt Janeth Fussi - Katibu, Ngome ya Wanawake ACT Wazalendo
8. Mwanaisha Mndeme - Katibu, Ngome ya Vijana ACT Wazalendo
9. Edgar Mkosamali - Katibu, Idara ya Bunge na Baraza la Wawakilishi ACT Wazalendo
Rasimu hii ya Ilani itakayoandaliwa (pamoja na ile ya Zanzibar) zitafikishwa kwenye Sekretarieti, Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama ili kuidhinishwa. Naitakia timu hii kila la kheri katika utekelezaji wa majukumu yao haya.
Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Kiongozi wa Chama, ACT Wazalendo
Mei 23, 2020